Mgogoro ndani ya CHADEMA!?

Unawasilisha RUBISH
 
Ama kweli wewe ni zuzu! Yaani umeshindwa kuelewa ulichoandikiwa hapa?!!!!!

Swali langu naona limekuwa gumu sana, ngoja nilibadili, Zitto hajambo? Josephine nae hajambo, tayari au bado?
 
Kwa mtazamo wako unafikiri ni kwa nini Zitto hakutoka nje ya ukumbi?
 
ni kweli mkuu, hawa CHADEMA wanataka kusifiwa tuu, kama wao ni malaika vile
 
Huo ni umbeya hebu thibitisha huo ujumbe wa mboye uliuona wapi?

Habari za kimbeya hazifai ktk jamii

Bado unajiita mwanachama wakati hata mambo yanayotokea kwenye chama huyajui?
 
kweli midomo itatuponza, huyu mtu kaandika vitu hana information but out of whims, atakuwa ni mkereketwa wa magamba. Watu wa hivi huwa wana maisha magumu, wanaishi pabovu, wanakula hovyo af wanajifanya chama cha magamba ni chao.
 
hongera wewe mwenye maisha mazuri
 
Swali langu naona limekuwa gumu sana, ngoja nilibadili, Zitto hajambo? Josephine nae hajambo, tayari au bado?

Namuonea huruma sana Josephine, huyu mzee lazima atampiga chini baada ya muda mfupi
 
Kuna Bendi illimba kwamba " hata mapacha ufika wakati wakaacha kuelewana" Hakuna la ajabu hapa.
 
Badala ya kujadili hoja na mipango yenu ya Chadema mnamjadili Ritz Chadema bana.
Nimeshangaa tu kwamba sijakuona ukitoa comment kwenye ile mada. Mbona kwenye hoja za Chadema unaonekanaga wangu wangu?
 
CHADEMA tunawapenda tu hata kama wakiwa na migogoro, jamii isiyo na migogoro ni jamii iliyokufa kiakili
 
Hakuna mgogoro wowote ndani ya Chadema, huu unauzusha wewe ni upuuzi usio na mashiko, chadema ni chama makini na huendesha siasa zao kwa umakini zaidi
 
Hakuna mgogoro wowote ndani ya Chadema, huu unauzusha wewe ni upuuzi usio na mashiko, chadema ni chama makini na huendesha siasa zao kwa umakini zaidi
TUNTEMEKE unamjuwa au unajisemea tu? ingawa mmemlamba ban lakini nna-uhakika ukimuudhi atakuja kivingine, shauri lako.

Vipi software ya kudhibiti mahesabu ya chama iliyowekwa na Josephine wa mzee Slaa, imesharekebishwa maana ilitowa hesabu za mapato "0" za bajeti. Umesahau sakata lake?
 
Last edited by a moderator:
hata vikombe kabatini hugongana. Kikubwa wakitofautiana basi suluhu iwepo.
 
mawazo yako potofu. Hivi wewe hujawahi suguana na nduguyo hata siku moja? Hata mke na mume hutofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…