Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,263
Na bado! Zitto vipi mbona hajasusa?
Kuna watu wanatamani CHADEMA kuwe na mgogoro kwa hali na mali.
Hivi sehemu kama kuna mgogoro si inajulikana tu! kuna haja ya kufosi watu?
Sasa ni dhahiri kuwa kuna mgogoro wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA kati ya viongozi wake, ingawa viongozi wake wamekuwa wakifanya kila jitihada kuficha
Tukio la hivi karibuni viongozi wake wamekuwa wakifanya kila njia kuhakikisha suala la Mnyika kumtumia sms za vitisho Mh. Mwigulu Nchemba linamalizwa nje ya vyombo vya usalama, viongozi wamekuwa wakimshutumu sana Mnyika kwa uamuzi alioufanya wa kutuma sms za vitisho kwa Nchemba hali inayokifanya chama kutumia nguvu kubwa kushughulikia suala hilo, pia wamekuwa wakimshutumu kwa uamuzi wake wa kwenda kufanya mkutano huko Singida hadi kusababisha mauaji.
Pia umetokea msuguano kati ya Mbowe na Zitto kutokana na uamuzi wa Zitto kususia kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge pamoja na wabunge wengine wa CHADEMA baada ya kutokea msuguano kati Tundu Lissu na Werema, inasemekana siku hiyo Mbowe ambaye hakuwepo Bungeni alimtumia sms Zitto akimshutumu Zitto kwa uamuzi wake wa kubaki ukumbini wakati wenzake wanatoka nje, hata hivyo inasemekana Zitto alimjibu Mbowe kuwa suala lile lilikuwa kati ya Lissu na Werema hivyo lilikuwa halimhusu yeye,
NOTE: Kama hali iko hivi mapema itakuwaje wakikabidhiwa nchi, si watachinjana hawa
Nawasilisha!!!?
Lisemwalo lipo...
Ni kweli kabisa tumeshikwa patamu that why tukishindwa hoja tunawatusi wale wenye hoja kuwa "sio kila mwenye nywele ana uwezo wa kufikiri,
Tumeshikwa patamu mkapa wapinzani wetu wakisema wana uchungu wa taifa hili sisi tunawaambia waende leba kujifungua.
Tumeshikwa pabaya mpaka tunatunga msg na kujitumia na kuzusha kuwa tumetumiwa na kutishiwa na wapinzani wetu.
Tumeshikwa pabaya mpaka tunaomba muongozo katikati ya hotuba ya wapinzani wetu na kuomba baadhi ya pages za hutuba husika zisisomwe mbele ya watanzania.
Aisee tusameheni msitushike pabaya hadi kufikia hatua ya kuacha kujadili hotuba za mawaziri na kuanza kushambulia wapinzani ambao hawana dola. Inshort tumepanic.
Tunaomba msamaha wakuu.
Lisemwalo lipo...
Ukiwashika patamu magwanda tazama wanavyoporomosha matusi! kwi kwi kwi teh teh teh!
Ovyo! Sikuwa nikifahamu kwamba kuwa mwanachama wa CCM ni kuwa na tabia za fisi ambaye hachoki kufuatia nyuma ya binadamu anayetembea kwa matumaini ya eti mikono inayoning'inia huenda ikadondoka ajipatie kitoweo! Ama kweli mmeshikwa pabaya na mnahangaika kujinasua na bado maana sasa mmeashikwa kwa kabari ya mikono; itakuwaje watapabowashika kwa prize?Sasa ni dhahiri kuwa kuna mgogoro wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA kati ya viongozi wake, ingawa viongozi wake wamekuwa wakifanya kila jitihada kuficha
Tukio la hivi karibuni viongozi wake wamekuwa wakifanya kila njia kuhakikisha suala la Mnyika kumtumia sms za vitisho Mh. Mwigulu Nchemba linamalizwa nje ya vyombo vya usalama, viongozi wamekuwa wakimshutumu sana Mnyika kwa uamuzi alioufanya wa kutuma sms za vitisho kwa Nchemba hali inayokifanya chama kutumia nguvu kubwa kushughulikia suala hilo, pia wamekuwa wakimshutumu kwa uamuzi wake wa kwenda kufanya mkutano huko Singida hadi kusababisha mauaji.
Pia umetokea msuguano kati ya Mbowe na Zitto kutokana na uamuzi wa Zitto kususia kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge pamoja na wabunge wengine wa CHADEMA baada ya kutokea msuguano kati Tundu Lissu na Werema, inasemekana siku hiyo Mbowe ambaye hakuwepo Bungeni alimtumia sms Zitto akimshutumu Zitto kwa uamuzi wake wa kubaki ukumbini wakati wenzake wanatoka nje, hata hivyo inasemekana Zitto alimjibu Mbowe kuwa suala lile lilikuwa kati ya Lissu na Werema hivyo lilikuwa halimhusu yeye,
NOTE: Kama hali iko hivi mapema itakuwaje wakikabidhiwa nchi, si watachinjana hawa
Nawasilisha!!!?
Hata wewe wanakusema kuwa umejilimbikizia fedha za wizi! lisemwalo lipo!!Lisemwalo lipo...
Sasa ni dhahiri kuwa kuna mgogoro wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA kati ya viongozi wake, ingawa viongozi wake wamekuwa wakifanya kila jitihada kuficha
Tukio la hivi karibuni viongozi wake wamekuwa wakifanya kila njia kuhakikisha suala la Mnyika kumtumia sms za vitisho Mh. Mwigulu Nchemba linamalizwa nje ya vyombo vya usalama, viongozi wamekuwa wakimshutumu sana Mnyika kwa uamuzi alioufanya wa kutuma sms za vitisho kwa Nchemba hali inayokifanya chama kutumia nguvu kubwa kushughulikia suala hilo, pia wamekuwa wakimshutumu kwa uamuzi wake wa kwenda kufanya mkutano huko Singida hadi kusababisha mauaji.
Pia umetokea msuguano kati ya Mbowe na Zitto kutokana na uamuzi wa Zitto kususia kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge pamoja na wabunge wengine wa CHADEMA baada ya kutokea msuguano kati Tundu Lissu na Werema, inasemekana siku hiyo Mbowe ambaye hakuwepo Bungeni alimtumia sms Zitto akimshutumu Zitto kwa uamuzi wake wa kubaki ukumbini wakati wenzake wanatoka nje, hata hivyo inasemekana Zitto alimjibu Mbowe kuwa suala lile lilikuwa kati ya Lissu na Werema hivyo lilikuwa halimhusu yeye,
NOTE: Kama hali iko hivi mapema itakuwaje wakikabidhiwa nchi, si watachinjana hawa
Nawasilisha!!!?
Hivi, mbona huyu Ritz sijamwona kwenye ile thread inayozungumzia jinsi Riziwani anavyojilimbikizia mali Tanzania kote?Hizi thread za kimbea huwezi kuwa kosa ritz rejao na zomba kwa mfano ile thread ya ndoa ya slaa walikesha hapo lakini nyingine hawatii team hasahasa rejao
Mpaka aone slaa, Mbowe ,mnyika au CDM kwa ujumla lakini yanayozungumziwa yawe mabayaHivi, mbona huyu Ritz sijamwona kwenye ile thread inayozungumzia jinsi Riziwani anavyojilimbikizia mali Tanzania kote?
Lipi? hiyo taarabu inayotokana na ulevi wa gongo ya kigogoLisemwalo lipo...
Ukiwashika patamu magwanda tazama wanavyoporomosha matusi! kwi kwi kwi teh teh teh!
Yaani mleta hoja hapo kwenye CHADEMA ungeweka CCM watu wote wangekuunga mkono lakini ukishaiongelea CDM tu tegemea matusi hata kama ukiweka vyanzo vya kuaminika.Hili si jukwaa huru tena bali ni jukwaa la kukisifia chama.Hili linanikera sana,binafsi sina chama maana kwangu siasa za bongo ni za waganga njaa tu lakini kama tunaongelea siasa jamani tukubali na kukosolewa au vinginevyo yaanzishwe majukwaa ya vyama kimoja kimoja ndani ya Jamiiforum kwamba nikiingia jukwaa la CCM nikaisema vibaya nitukanwe na vivi hivyo kwa CDM.