Mgogoro ndani ya CHADEMA!?

Mgogoro ndani ya CHADEMA!?

kipuri

Senior Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
155
Reaction score
27
Sasa ni dhahiri kuwa kuna mgogoro wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA kati ya viongozi wake, ingawa viongozi wake wamekuwa wakifanya kila jitihada kuficha

Tukio la hivi karibuni viongozi wake wamekuwa wakifanya kila njia kuhakikisha suala la Mnyika kumtumia sms za vitisho Mh. Mwigulu Nchemba linamalizwa nje ya vyombo vya usalama, viongozi wamekuwa wakimshutumu sana Mnyika kwa uamuzi alioufanya wa kutuma sms za vitisho kwa Nchemba hali inayokifanya chama kutumia nguvu kubwa kushughulikia suala hilo, pia wamekuwa wakimshutumu kwa uamuzi wake wa kwenda kufanya mkutano huko Singida hadi kusababisha mauaji.

Pia umetokea msuguano kati ya Mbowe na Zitto kutokana na uamuzi wa Zitto kususia kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge pamoja na wabunge wengine wa CHADEMA baada ya kutokea msuguano kati Tundu Lissu na Werema, inasemekana siku hiyo Mbowe ambaye hakuwepo Bungeni alimtumia sms Zitto akimshutumu Zitto kwa uamuzi wake wa kubaki ukumbini wakati wenzake wanatoka nje, hata hivyo inasemekana Zitto alimjibu Mbowe kuwa suala lile lilikuwa kati ya Lissu na Werema hivyo lilikuwa halimhusu yeye,

NOTE: Kama hali iko hivi mapema itakuwaje wakikabidhiwa nchi, si watachinjana hawa

Nawasilisha!!!?
 
Hata kama ni kweli tutaaminije uyasemayo??? Source plz...
 
mimi nilidhani ni TUNTEMEKE ila km ni wewe huo ni mtazamo wako basi upo sahihi kivyakovyako mm nakuunga mkono lakini subiri wenyewe na mvua ya MITU.................. na wengine watamlaumu Bw mdogo Zitto wakati alikuwa sahihi kabisa ishu ya Meli ilishashughulikiwa na serikali mimi napita
 
Sasa ni dhahiri kuwa kuna mgogoro wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA kati ya viongozi wake, ingawa viongozi wake wamekuwa wakifanya kila jitihada kuficha

Tukio la hivi karibuni viongozi wake wamekuwa wakifanya kila njia kuhakikisha suala la Mnyika kumtumia sms za vitisho Mh. Mwigulu Nchemba linamalizwa nje ya vyombo vya usalama, viongozi wamekuwa wakimshutumu sana Mnyika kwa uamuzi alioufanya wa kutuma sms za vitisho kwa Nchemba hali inayokifanya chama kutumia nguvu kubwa kushughulikia suala hilo, pia wamekuwa wakimshutumu kwa uamuzi wake wa kwenda kufanya mkutano huko Singida hadi kusababisha mauaji.

Pia umetokea msuguano kati ya Mbowe na Zitto kutokana na uamuzi wa Zitto kususia kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge pamoja na wabunge wengine wa CHADEMA baada ya kutokea msuguano kati Tundu Lissu na Werema, inasemekana siku hiyo Mbowe ambaye hakuwepo Bungeni alimtumia sms Zitto akimshutumu Zitto kwa uamuzi wake wa kubaki ukumbini wakati wenzake wanatoka nje, hata hivyo inasemekana Zitto alimjibu Mbowe kuwa suala lile lilikuwa kati ya Lissu na Werema hivyo lilikuwa halimhusu yeye,

NOTE: Kama hali iko hivi mapema itakuwaje wakikabidhiwa nchi, si watachinjana hawa

Nawasilisha!!!?

CHADEMA haikabidhiwi nchi bali inachukua nchi.
Aisee kajipange upya, hii imebuma.
 
Leo kuna wachina wamekutwa katika harakati za kuchimba madini,kwenye mbuga ya wanyama ya Katavi pasipokuwa na mkataba maalumu...Upande wa pili watendaji ambao ndiyo wenye chama tawala wako bize kwenye mitandao,wakiwachafua viongozi wa upinzani.
 
Ngome zote za CCM zimevunjwa,
CCM wamebaki na Mahakama,
CCM wanatumia Cellphone intercetor,
Ili kufanikisha suala la kuwapeleka watu mahakamani.

Itabidi waje wataalamu wa simu wa ScotlandYard,
Simu ya Mwigulu Nchemba na Simu ya John Mnyika,
Zichunguzwe kitaalamu,
Katika mitambo watafukua ukweli,
na kuweka wazi source and destination ya kila simu,
miezi miwili yuma kabla ya tukio, siku ya tukio na kuendelea
Kila transaction ya simu huacha Foot Prints ya source yake,
kam kulikuwa na interference yeyote itaoneka humo,
pia Cell tower husika nayo itakuwa registered.

Utaona SMS inatumwa kutoka Dar wakati mweny simu yupo Singida.

CCM mmeanza sisi tutamalizia,
Kabla ya 2014 kutakuwa na mitambo ya aina hii kwa maelfu ya kunasa simu Tanzania,
Mazungumzo ya siri ya serikali ya CCM katika vikao vyao vya kiharamia,
yote yatawekwa kwenye You Tube, hili ni lazima litokee.
A little bit modification ya Cell Phone Interceptor itawezesha kunasa sauti kutoka microphone ndani ya mikutano ya siri.
Kati yetu na CCM nani anapenda siri zake kutoka ndani ya vikao zisivuje???????????

Ukiwa na nyumba ya vio usianze kurusha mawe,

Types of Cell Phone Interceptors

Millions of people use monitoring systems and devices for several purposes. Monitoring systems and devices have been around for quite some time and are designed to increase the level of security and protection in facilities. Among the technologies that the [COLOR=blue !important][FONT=inherit !important][COLOR=blue ! important][FONT=inherit ! important]cell [/FONT][/FONT][FONT=inherit !important][COLOR=blue ! important][FONT=inherit ! important]phone [/FONT][/COLOR][COLOR=blue ! important][FONT=inherit ! important]industry[/FONT][/COLOR][/FONT][/COLOR][/COLOR] created, the cell phone interceptor is what experts consider one of the most innovative and valuable.
Cell Phone Interceptors Used for Monitoring

The cell phone interceptor is one of the latest inventions that the cell phone industry introduced. The primary aim of developing this unit is to intercept or capture [COLOR=blue !important][FONT=inherit !important][COLOR=blue !important][FONT=inherit !important]mobile [/FONT][/FONT][FONT=inherit !important][COLOR=blue !important][FONT=inherit !important]phone[/FONT][/COLOR][/FONT][/COLOR][/COLOR] conversations. The person with this unit can call and listen to the sounds and voices in his or her surroundings, which works even if the target is not using his or her own phone. Because they are so technical and valuable, an increasing number of persons who have positions of authority are seeking cell phone interceptors that can help them capture targets.
Many cell phone interceptor models are currently being marketed for public purchase. Those who work in government agencies and handle special investigative cases are urged to find the right interceptor unit. The good news is that because there are so many models being marketed, getting the right one is easy.
cell-phone-interceptor.jpg

The SecPro Cell Interceptor

One of the most popular units ever introduced is the SecPro Cell Interceptor. Several reviews claim that this is one of the most effective GSM cellular interceptors that function off-air. SecPro Cell Interceptors are available anywhere in the world, from small to large retail outlets and stores.
The SecPro is valued for several good features. It possesses an intercept system that is very active. It is undetectable and performs at a very high standard. The SecPro can even be upgraded to carry a number of advanced capabilities. Also, this interceptor is powered with multi-channel and recording features.
SecPro Cell Interceptor’s wonders are not just limited to what is being said. Its designers and developers have maintained that unlike the other interceptor models, this product is built to receive and process signals detected from GSM digital cell phones and it comes with a built-in RF triangulation locator that is sophisticated in style and form. The locator works effectively to catch signals with GPS accuracy. In addition, PC and DSP software is built into the system itself. This feature allows algorithms to be processed easily and quickly. The software even comes with special Windows based capability that allows an operator to do the interfacing comprehensively and intuitively.
The GSM Cellular Interceptor

Another great cell phone interceptor model is the GSM Cellular Interceptor, designed with advanced monitoring features. This product intercepts cellular signals and traffic, and while SecPro is sophisticated in style, this tops the list of the most advanced. Perhaps the best thing about this product is that it can be customized to fit certain specifications. Thus, those who use or buy this highly innovative technology can truly benefit from the capabilities that it has to offer, while enjoying the features they like.
These items are currently marketed from different areas in the world at highly varying prices. Try to do some budgeting before purchasing one.
 
Ukiwashika patamu magwanda tazama wanavyoporomosha matusi! kwi kwi kwi teh teh teh!

Ni kweli kabisa tumeshikwa patamu that why tukishindwa hoja tunawatusi wale wenye hoja kuwa "sio kila mwenye nywele ana uwezo wa kufikiri,
Tumeshikwa patamu mkapa wapinzani wetu wakisema wana uchungu wa taifa hili sisi tunawaambia waende leba kujifungua.
Tumeshikwa pabaya mpaka tunatunga msg na kujitumia na kuzusha kuwa tumetumiwa na kutishiwa na wapinzani wetu.
Tumeshikwa pabaya mpaka tunaomba muongozo katikati ya hotuba ya wapinzani wetu na kuomba baadhi ya pages za hutuba husika zisisomwe mbele ya watanzania.
Aisee tusameheni msitushike pabaya hadi kufikia hatua ya kuacha kujadili hotuba za mawaziri na kuanza kushambulia wapinzani ambao hawana dola. Inshort tumepanic.
Tunaomba msamaha wakuu.
 
Sio lazima wote tuongee,wengine wabaki na mamazao nyumbani,humu tunaitaji watu wenye uwezo waku fikiri nakuficha ufinyu wa akili zao.
 
napita tu maana sina ushahidi wowote wa kuunga mkono hoja au kukanusha ila kama ni majungu nakuone huruma mkuu kwa kusambaza umbea ambao sidhani kama unajenga au unabomoa wenzako wanataka kuangusha mnara wa babeli 2015 wewe unautetea kwa nguvu zote, kazi ipo tuna safari ndefu sana labda tupewe tena miaka 10 mpka 2020 watu wajielewe kwanza maana naona watu bado wananunuliwa kwa chips tu.
 
Ni kweli kabisa tumeshikwa patamu that why tukishindwa hoja tunawatusi wale wenye hoja kuwa "sio kila mwenye nywele ana uwezo wa kufikiri,
Tumeshikwa patamu mkapa wapinzani wetu wakisema wana uchungu wa taifa hili sisi tunawaambia waende leba kujifungua.
Tumeshikwa pabaya mpaka tunatunga msg na kujitumia na kuzusha kuwa tumetumiwa na kutishiwa na wapinzani wetu.
Tumeshikwa pabaya mpaka tunaomba muongozo katikati ya hotuba ya wapinzani wetu na kuomba baadhi ya pages za hutuba husika zisisomwe mbele ya watanzania.
Aisee tusameheni msitushike pabaya hadi kufikia hatua ya kuacha kujadili hotuba za mawaziri na kuanza kushambulia wapinzani ambao hawana dola. Inshort tumepanic.
Tunaomba msamaha wakuu.

Na bado! Zitto vipi mbona hajasusa?
 
Back
Top Bottom