Mgogoro mkubwa wafukuta TBC

Mgogoro mkubwa wafukuta TBC

So far kuusema ukweli, TBC ndio the best TV Station in Tanzania kwa vifaa,
manpower na majengo, kinachohitajika ni Mshana ku open up a bit kuruhusu outside productions ku boost up their limited creativity!.

Ila pia whoever aliyeleta hii kitu humu jf, huyo hafai kabisa kuendelea kuwa mtumishi wa umma!. Mambo kama haya yalipaswa kuwa siri za ndani za serikali!.

Mimi nimefanya kazi TBC na kuna mengi ya hovyo na ya ajabu nimeyashuhudia lakini hakuna hata siku moja nimewahi kusema humu TBC hivi au TBC vile!. Hawa watakuwa ni hawa vijana wapya walio ajiriwa juzi juzi wasio na uvumilivu wa kiserikali wanataka kutuaibishia shirika letu!.

Hawa ni wa kutafutwa na kuadabishwa!.

Pasco.

Nonsensical....
 
Sifa kuu ya kwanza kwa mtumishi wa umma ni kutunza siri za serikali!.
Whoever aliyezitoa taarifa hizo nje, amekiuka masharti yake ya ajira na akipatikana ni summary dismissal!.
Pasco.
UMEKOSEA Pasco sifa ya kwanza kwa mtumishi wa umma ni kuwanyenyekea wanasiasa na kuficha maovu yao!
wewe unatetea kwa sababu ya ugali wako unaogopa matangazo yako yataziwa
 
Last edited by a moderator:
Huwa naona wanaosafiri ni wale wale.

Safari za uingereza na marekani lazma Suzan Mungi ajipigie pande.
 
ucha kuongea kama siio mwanasheria
kasema ukweli na ukweli ndio dira ya maendeleo
bila ukweli nchi itayumba
ukweli ndio utatuweka huru
nampongeza mtoa mada
So far kuusema ukweli, TBC ndio the best TV Station in Tanzania kwa vifaa,
manpower na majengo, kinachohitajika ni Mshana ku open up a bit kuruhusu outside productions ku boost up their limited creativity!.

Ila pia whoever aliyeleta hii kitu humu jf, huyo hafai kabisa kuendelea kuwa mtumishi wa umma!. Mambo kama haya yalipaswa kuwa siri za ndani za serikali!.

Mimi nimefanya kazi TBC na kuna mengi ya hovyo na ya ajabu nimeyashuhudia lakini hakuna hata siku moja nimewahi kusema humu TBC hivi au TBC vile!. Hawa watakuwa ni hawa vijana wapya walio ajiriwa juzi juzi wasio na uvumilivu wa kiserikali wanataka kutuaibishia shirika letu!.

Hawa ni wa kutafutwa na kuadabishwa!.

Pasco.
 
Upande wa radio ndo wavunje kabisa waweke club ya usiku.

Serikali yenyewe inajua hakuna anayesikiliza na wanatumia clouds kupeleka ujumbe kwa wananchi.
 
TBC ni janga lingine la Taifa iko kiyombayomba zaidi!
 
Viva Tido Mhando; Tutakukumbuka sana kwa umahiri wako katika tasnia ya habari!! CCM walitumbukiza lulu chooni!!

Umenena sawa sawiwia, walipata mkurugenzi makini kila mtanzania ndani na nje ya nchi akaipenda TBC wao kwa siasa uchwara wao wakamuona hafai, malipo ni hapahapa duniani acha wale jeuri yao, japo najua shirika linatumia pesa zetu za kodi, potelea mbali acha kulipuke.

Bahati iliwajia ikawakuta wamelala, waliposhituka usingizini bahati ilikusha potea.
 
ndio maana kuna wakati unapoangalia habari ni lazima kuwe na tatizo la kutopata habari ktk picha na sasa hawapo online TV4AFRICA
 
TBC
Mkuu Pasco kwa mtanzania wa kawaida atakwambia ITV ndio The best TV station kwa sababu ya
1/Big Coverage
2/Persistance
3/A bit balance news.
4/Kujaribu kuwapa kile watu wanachokitaka.

But kwa sababu zako ni kweli TBC ilifikia Ubora huo lakini kwa sababu wanarudi nyuma
kwa kasi kubwa.

*Japokuwa madai hayo sio siri kwa watumishi wa tbc Mtonyaji wa habari hii sio kijana wa juzi ni mtu mzima aliyefikia umri wa kustaafu, imebidi afikie kusema haya kwa sababu hataki kuwa kama wale wazee wa jumuiya ya East Africa iliyovunjika, anataka apate haki zake sasa na sio akishaacha kazi au kufa.
Mkuu TangaTanu, the best ni relative according to vigezo, niliposema TBC is the best niliweka vyangu, na wewe unaposema ITV ndio TV best kwa vigezo vyako you are also right vijana nao wataibuka kuwa Clouds ndio TV best na wataweka vigezo vyao.

Ill tuzishindanishe hizi TV kwa haki, tuweke vigezo vinavyo fanana vya ubest kwenye Tv. Hill la ITV kupendwa zaidi kutokana na kuwapa watazamaji kile wanachokitaka halina ubishi, TBC kama Public Tv Stations, haipaswi Kuwapa watazamaji kile wanachokitaka bali Watanzania wanachopaswa kupata na sio lazima wanachopenda kama prescriptions daktari atakupatia kidonge cha kukutibu hata kama ni kichungu na hukipendi, ill upone utakimeza, vinginevyo ukiendekeza kile ukipendacho lets say ni pipi, utakula pipi tamu but won't help you at all!.

Ndio maana TBC wanarusha Bunge, Vipindi vaya Kilimo , Vipindi vya maendeleo na vile vyenye maslahi kwa taifa.
Kwa vile vigezo vyangu, TBC bado ni best.
Pasco
 
Bila Tido TBC itakufa tu, leo hii TBC imerudia enzi za TVT, imepoteza mvuto kwa watu. Mimi kwangu hata sijui mara ya mwisho niliangalia lini program za TBC, ni ujinga kupoteza muda wako kuangalia mauchafu ya TBC!
 
Mkurugenzi mkuu amepewa jina la BOYA, duuuuu, hii noma.
Ndivyo hivyo wanavyomwita hata walinzi kwenye mageti ya kuingia na kutoka TBC utawasikia wakisema mara tu waonapo gari yake inakuja.
Kisa tu, ni kwamba
1/Wanamwona kama mtu asiyestahili kuwa mkurugenzi wao!!

2/Anatumika tu kama kondom na waliomuweka pale!!

3/Hajui kabisa anakoipeleka TBC!!

4/Ni mwoga, mbishi na mwenye misimamo ya ajabu ajabu sana.
 
So far kuusema ukweli, TBC ndio the best TV Station in Tanzania kwa vifaa,
manpower na majengo, kinachohitajika ni Mshana ku open up a bit kuruhusu outside productions ku boost up their limited creativity!.

Ila pia whoever aliyeleta hii kitu humu jf, huyo hafai kabisa kuendelea kuwa mtumishi wa umma!. Mambo kama haya yalipaswa kuwa siri za ndani za serikali!.

Mimi nimefanya kazi TBC na kuna mengi ya hovyo na ya ajabu nimeyashuhudia lakini hakuna hata siku moja nimewahi kusema humu TBC hivi au TBC vile!. Hawa watakuwa ni hawa vijana wapya walio ajiriwa juzi juzi wasio na uvumilivu wa kiserikali wanataka kutuaibishia shirika letu!.

Hawa ni wa kutafutwa na kuadabishwa!.

Pasco.

Du ulitaka wafe na tai shingoni, Tanzania inabadilika siyo kama ya miaka ile tunaimba TANU yajenga nchi na ambapo kila tarehe 5/02/ ilikuwa siku kuu hatuendi shule
 
Katika tasnia ya habari, kuna vitu vinanishangaza sana, kuna watu wako tayari kuwa watumwa wa kifikra, simply because they are paid that's all, Utumwa wa kifikra ni mbaya heri utumwa wa waarabu wa kufungwa minyororo, unalazimika kupresent kitu ambacho hukubaliani nacho, I better die, rather than doing something out of my conscience.

Back
Top Bottom