Mgogoro mkubwa wafukuta TBC

Mgogoro mkubwa wafukuta TBC

viva tido mhando; tutakukumbuka sana kwa umahiri wako katika tasnia ya habari!! Ccm walitumbukiza lulu chooni!!

ni ukweli usiopingika kuwa tido ni jembe,na kwa kujua vema wajibu wake katika kazi serikali ikaona inaumbuka sasa subiri kifo cha tbccm ki mbioni kaja rip tbc na mshana.
 
Haaaaa yoyo umenchekesha hao mashoree na ukiritimba wao wataweza kweli
 
stashangaa kusikia CDM wahusika na kuna mtu ataonekana kwenye Video akipanga njama za kuangamiza shirika zuri la umma

Haa..! Haa... Yaweza kuja maneno kwani nchi yetu ina maajabu kila siku.
 
Agree with you TanganyikaTANU , mwenekiti wa bodi ya wakurugenzi huyo Prof.Mwajabu Possi ni mdimni sana huyo mama, kaenda pale kuchochea udini...

Namfahamu toka akiwa IJMS, ni wanafuzi wa dini moja alikuwa akiwapo shavu la kwenda Finland kwenye Exchanging programme za UDSM na FIN, mnaa sana huyo,
 
Last edited by a moderator:
Ikafie mbali manyang'au matibisisiem,takataka kabisa wanatumiwa na masisiem kama ile mipira ya wanaume!!!ptyuuuuu!!tupa kuleeee!!!!
 
hata mtangazaji akiwa anatangaza taarifa utamwona anavyotangaza kwa unyonge kama amelazimishwa vile kumbe hajalipwa mshahara
Mkuu umeona eeeh!!
Yaani utadhani analazimishwa vile au kawekewa mtutu wa Bunduki mbele.

Yaani kitengo cha habari TBC(Ambacho ni muhimu na sensitive sana) kwa sasa ni kama kinakufa maana siku hizi huwezi kuangalia 'section' yoyote ya Habari TBC kusiwepo na Professional blunders(Partial story, Unbalance news etc) au Technical problems(Picture, Sound, Graphics nk)

*Maneno ''Tunaomba radhi kwa Usumbufu uliojitokeza'' yamekuwa ya kawaida kabisa kila utazamapo habari TBC kwa sasa.
 
Mkuu umeona eeeh!!
Yaani utadhani analazimishwa vile au kawekewa mtutu wa Bunduki mbele.

Yaani kitengo cha habari TBC(Ambacho ni muhimu na sensitive sana) kwa sasa ni kama kinakufa maana siku hizi huwezi kuangalia 'section' yoyote ya Habari TBC kusiwepo na Professional blunders(Partial story, Unbalance news etc) au Technical problems(Picture, Sound, Graphics nk)

*Maneno ''Tunaomba radhi kwa Usumbufu uliojitokeza'' yamekuwa ya kawaida kabisa kila utazamapo habari TBC kwa sasa.

Halafu watangazaji wakitangaza habari utafikiri wapo kuzimu...Giza si giza, mwanga si mwanga yani kero tupu..
 
Ndani ya Taasisi ya Utangazaji Tanzania(TBC) kwa sasa kuna mgogoro mkubwa sana unafukuta chini kwa chini ukihusisha pande mbili kuu, yaani Wafanyakazi wa kawaida na Uongozi wa juu wa shirika hilo, kuhusu madai yafuatao na huku wakitaka Mkurugenzi mkuu wa sasa wa TBC afukuzwe na bodi ya shirika hilo ivunjwe;

1/Ubaguzi katika kupewa vyeo, Posho na marupurupu(Suala la Itikadi, Ukanda na Udini linatajwa sana)

2/Kuruhusu wanasiasa(Viongozi wa serikali na makada wa CCM) kuingilia wanavyotaka kazi za kitaaluma katika utoaji wa habari hususani kuhariri(Kuchuja) habari.

3/Kutokulipwa malimbikizo ya madeni ya madai ya siku za nyuma.

4/Utendaji Duni na Mbovu wa Mkurugenzi mkuu Clement Mshana hadi kufikia kumpa jina la dhihaka la 'BOYA'

5/Vitisho vya kufukuzwa kazi kwa baadhi ya watumishi wanaohoji sana mwenendo mbovu wa shirika hilo kwa sasa.

6/Mvutano wa Chini kwa chini kati ya Wakurugenzi waliowekwa na Lowassa wakati akiwa waziri mkuu na wapya walioletwa na Pinda.

*Pia kuna issue ya mkataba tata(White Elephant) kati ya TBC na Startimes(Wachina!) ambao Terms, Conditions, Investment, Dividend na Shares havijawekwa wazi na sawasawa, japokuwa Mkurugenzi mkuu na Bodi yake ya sasa wanadai wameurithi tu lakini sio 'wapishi' kamili wa hicho kilichopikwa!!

......Hakyanani ........najua utadhani Utani lakini maeneo mengi ya jiji la Dar TBC haisikiki....... pia mitambo bomu bomu, hao Star Time ikiundwa tume huru kufuatilia wanakookota makopo yao na kutuuzia wa TZ lazima litagalambuka tu.. visumbuzi sijui visambusa vya Star Time ni kiwango duni sana kupita maelezo...

 
irudishwe kuwa mali ya umma
mkurugenzi wake achujwe na bunge
iwe chombo huru kisichofungamana na upande wowote
hapo ndio itapata watazamaji
kwa sasa wacha ijifie tu kwani CCM wameshindwa kuwalipa wakati ni TV yao..TBCCM
Mkuu hilo la uteuzi wa mkurugenzi kuteuliwa kupitia Bunge litawezekana tu kupitia Kuwepo katika mpya au CCM itakapoondolewa madarakani.

Ila kwa sasa ni kupiga kelele mahali popote ikiwemo Bungeni kuhakikisha TBC inabadilika!!!
 
Nashauri majengo na mitambo ya TBC wapewe Muslim university of Morogoro kama majengo ya TANESCO
 
Tatizo serikali nayo imeingia kwenye mkumbo wa kutumia siasa kuendesha chombvo ambacho kinapaswa kuendeshwa kitalaamu. Pia, serikali inataka kuitumia TBC bila kuigharamia ipasavyo, lazima itakufa tu
 
Ukisoma signature yangu utajua ni kwanini CCM wana tabia ya aina hii. Yaani hawa, ni lazima wakutumie halafu wakuache katika hali ya umaskini. Maana ukijanjaruka utawaruka. Na hiyo ipo hivyo kwa wote wanaoishabikia CCM. Refer Ludovick, baada ya usaliti wake mkubwa alioufanya ameishia kurushiwa elfu hamsini. Hivi can you imagine hivi sasa amekaa lupango siku ngapi kisa elfu hamsini? Hao ndiyo CCM bwana, na nyie watangazaji wa TBC kazaneni tu kutumika, na mtabaki maskini daima huku mabosi wenu wakiendelea kuneemeka.
 
So far kuusema ukweli, TBC ndio the best TV Station in Tanzania kwa vifaa,
manpower na majengo, kinachohitajika ni Mshana ku open up a bit kuruhusu outside productions ku boost up their limited creativity!.

Ila pia whoever aliyeleta hii kitu humu jf, huyo hafai kabisa kuendelea kuwa mtumishi wa umma!. Mambo kama haya yalipaswa kuwa siri za ndani za serikali!.

Mimi nimefanya kazi TBC na kuna mengi ya hovyo na ya ajabu nimeyashuhudia lakini hakuna hata siku moja nimewahi kusema humu TBC hivi au TBC vile!. Hawa watakuwa ni hawa vijana wapya walio ajiriwa juzi juzi wasio na uvumilivu wa kiserikali wanataka kutuaibishia shirika letu!.

Hawa ni wa kutafutwa na kuadabishwa!.

Pasco.
 
Back
Top Bottom