JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,309
- 5,464
Kitenge ni mtetezi wa wamasai badala ya wazaramo wenzake? aanze na wazaramo wenzake kwanza kuwatetea na umaskini mkubwa walioletewa na CCM, pia tujue elimu yake.
Kwahio hapo kuna ambae sio Mtanzania ? Pia hao Wazaramo wenzake nao wapo kwenye hifadhi ?, Tatu umasikini wa Wazaramo wenzake una impact sawa maisha yako kama vile uharibifu / uhatarishi wa hifadhi ambayo ni mboni ya dunia / taifa?Kitenge ni mtetezi wa wamasai badala ya wazaramo wenzake? aanze na wazaramo wenzake kwanza kuwatetea na umaskini mkubwa walioletewa na CCM, pia tujue elimu yake.
Sasa kama hauna taarifa sahihi inafaa kabisa usiandike kitu. Ngorongoro Conservation Area ndio ilianzishwa miaka hiyo. To be precise ni mwaka 1959.Wakati wanaanza kuishi hapo hifadhini miaka ya 1950
Kitenge ni Mnyamwezi ! Sio Mzaramo
Sasa kama hauna taarifa sahihi inafaa kabisa usiandike kitu. Ngorongoro Conservation Area ndio ilianzishwa miaka hiyo. To be precise ni mwaka 1959.
Lakini Maasai hatujaanza kuishi Ngorongoro miaka hiyo mkuu tumekuwepo since time immemorial.
Sasa mnaotaka tuondoke inabidi na sisi tuhoji kwanini hamuondoki huko mnapoishi.
Sasa ukisema Ngorongoro ni world heritage inamaana na kila kilichopo hapo ikiwemo Wamasai.Mkuu watu walihamishwa kwenda kwenye vijiji vya ujamaa sababu ya sera za serikali, itakuwa na utofauti gani masai wakihamishwa kwenye Ngorongoro Crater ambao ni urithi wa dunia kama ilivyo Serengeti au Selous national park
Na pia wamasai wana asili ya kuhama hama ndio maana hadi muda huu wameshaingia msumbiji, sasa kuna siri gani inayofanya kung'ang'ani hilo bonde. Labda unielimishe
Kitenge ni nani? Kuna watu wenye akili na elimu waliokwisha kuandika mengi kuhusu hili suala na siyo huyo Kitenge kanjanja anayechumia tumbo lake bila haya.Mgogoro wa Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu wakazi wanaoishi ndani ya eneo hilo umekuwepo kwa miaka mingi, kwa muda wote huo hakuna utatuzi rasmi wa nini kinatakiwa kifanyike.
Mgogoro wa Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu wakazi wanaoishi ndani ya eneo hilo umekuwepo kwa miaka mingi, kwa muda wote huo hakuna utatuzi rasmi wa nini kinatakiwa kifanyike.
Achana na mambo binafsi ya Kitenge.Kitenge ni mtetezi wa wamasai badala ya wazaramo wenzake? aanze na wazaramo wenzake kwanza kuwatetea na umaskini mkubwa walioletewa na CCM, pia tujue elimu yake.
Kwani nako kuna Ngorongoro?Sasa kama hauna taarifa sahihi inafaa kabisa usiandike kitu. Ngorongoro Conservation Area ndio ilianzishwa miaka hiyo. To be precise ni mwaka 1959.
Lakini Maasai hatujaanza kuishi Ngorongoro miaka hiyo mkuu tumekuwepo since time immemorial.
Sasa mnaotaka tuondoke inabidi na sisi tuhoji kwanini hamuondoki huko mnapoishi.
Sasa ukisema Ngorongoro ni world heritage inamaana na kila kilichopo hapo ikiwemo Wamasai.
Moja ya vitu unique na vinavyoipa hiyo hadhi Ngorongoro ni ule muingiliano kati ya Mmasai na maliasili. Hiyo ni sifa moja wapo. Sasa ukitutoa unakuwa umeharibu.
Hii mada ya Ngorongoro Conservation Area, inatakiwa izungumzwe bila jazba.Mgogoro wa Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu wakazi wanaoishi ndani ya eneo hilo umekuwepo kwa miaka mingi, kwa muda wote huo hakuna utatuzi rasmi wa nini kinatakiwa kifanyike.
Ili upate jibu, jiulize kwa nini Ngorongoro haipo chini ya TANAPA, lakini Ruaha, Mikumi, Serengeti na nyinginezo zote zipo chini ya TANAPA.Kwani wamasai hawaishi kwa muingiliano na wanyama katika mbuga zingine zozote ila Ngorongoro crater hadi iwe unique factor ya watu kwenda kuitembelea ??...
Kwa ukubwa wa Ngorongoro na ikolojia yake unadhani hii haitoshi kuwafanya watu kuitembelea ??..
Leo tukisema tukimege kipande cha ruaha au mikumi ili kitumike kwa shughuli za kibinadamu bado kuna serengeti au selous inayotoa same experience Je, tukiiweka Ngorongoro crater hatarini kuna option gani nyingine tuliyonayo kui_replace
Kweli maasai akisoma ni hatari. Tuhame twende wapi sasa.Sasa kama hauna taarifa sahihi inafaa kabisa usiandike kitu. Ngorongoro Conservation Area ndio ilianzishwa miaka hiyo. To be precise ni mwaka 1959.
Lakini Maasai hatujaanza kuishi Ngorongoro miaka hiyo mkuu tumekuwepo since time immemorial.
Sasa mnaotaka tuondoke inabidi na sisi tuhoji kwanini hamuondoki huko mnapoishi.