Mgeni

Mgeni

nina maswali machache kwa mgeni...

1. Je wewe ni ''me'' au ''ke''??
2. Je wewe unaishi mkoa gani??
3. Je wewe umezaliwa kwenye kipindi cha nani cha rais??
4. Je wewe mwenyeji wa mkoa gani??(angalizo sio unapoishi namaanisha asili yakoo!!)
5. Naomba urafiki ''friend request''
 
Hv Msiri wangu,
Humu JF wifi yangu ni nani?
au huna viungo vya uzazi?


Msiri wangu si unajua ukishaguwa mgoni inabidi ufanye kwa siri..??
Kwa kuwa we ni msiri wangu njoo kipande hii basi nikutafune sikio...
 
welcome mi ni mdogo wake Madame B na mke wake judgement

Hv mdogo wangu wewe beibe nasty,
Ndo nini kujichimbia hvo?
Hata kama ni masomo ndo upotee hvo?
BTW karibu tena,ila siku ingine ukiondoka uage kbs ili shem Judgement asiulize kwa watu kuwa umeenda wapi.
 
Last edited by a moderator:
mara nyingi kwenye chatting, wanawake yena walio na umri wa kati na caring huanza maongezi na neno "jamani".
yaan mbona hata wewe nishakuvua na kukuchorea picha kibao ubongoni...

darling!!!!! Hapo kwenye RED sijaelewa!!!
 
darling!!!!! Hapo kwenye RED sijaelewa!!!

mpenzi nilikua nazozana na wifi yako Madame B, wala hayo maneno yasikupe pressure, we ndio wangu mwandani ubani wa moyo wangu....na tabibu wa maradhi yangu....mwaaah!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom