Mgeni mwenyeji

Karibu mgeni,una ndugu humu?mfano kaka,dada,mjomba,shangaz na kadhalika?walinzi je unao?kama huna fanyafanya uwasiliane na wazoefu maana humu kuna hadi vyama mfano CHAPUTA,CHAWABATA etc
 
Habarini wakuu(in wenyeji voice) nimekuwa nikiperuzi humu tangu miaka mitatu ilopita na leo nimeona niingie rasmi.naombeni ukarimu wenu jamanii cc shunie demiss hajari Madame b na wangineo
Mgeni unamjua hadi shunie!!
Karibu mwali utakutana na manyakanga,makungwi humu cha muhimu mwali

Ukimpenda mtu humu tuambie tucheze ngoma humu humu(za kizaramo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom