Buttler Jo
JF-Expert Member
- May 26, 2025
- 901
- 806
Karibu sana jukwaani Malkia Mrembo..Hello wakubwa zangu
Ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia JF kwenye simu ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
Ok...ndio mme amka huko amrika?Sijajua hapo
Mwambie karibu sana JF ni kwake.Ngoja waje (kuku) karibisha akina mzabzab, SECRETARY BIRD n.k
Nimefurahi kusikia hivyo.Bila shaka
🤣🤣🤣🤣🤣 Haya karibu kinole...sie ndio tunapata chai na magimbi hapa😂😂 utani TU American ya mchongo
Ewaaa wee kweli wakienyeji😍😍😍Magimbi ya Nazi au mawese ndo mahala pake na chai Asante
Hapana bana Mshangazi dot comzaby toto wale wanaume wa kuwaogopa, kiongozi wao ndiyo huyo 👆🏽 wanamwitaga kindege, huwa hachagui pa kutua, kaa naye mbali sana.
Bila kumsahau Jadda na Culture MeDada zako ni hawa Nusratt Mshangazi dot com watakulea na kukufundisha yalilo mema. Ni madaktari
Mpaka sasa hajafika pm ili nimpe utaratibu, hawa ndo baadae wanakuja kuwalalamikia mods tunawaoneaduh we una makosa mengi sana
1. Umejiunga tu na kutupatia chai, umesema ulikuwa unafuatilia jf kupitia simu ya "batani". Sawasawa
2. Umeingia tu na kujipa umalkia.
Anyway, karibu sana. Kwanza nikupe siri, Moderator ni Mbaga Jr
Pili, Ukiona kuna mtu anakusumbua niambie nimpe ban