Daahπππhivi hatuna kweli la kusema zaidi ya kumpa maua tajiriπππ Tajiri Sina BAYAHakuna mengi zaidi ya kumwambia
Huna baya Tajiri ππ
Usi seme wanaume wa humu, sisi wengine hatuna muda wa kusumbuana na mtu tusiye mjua.Mdogo wangu malkia, karibu sana JF.
Ushauri kama mama na dada ni mmoja tu "OGOPA WANAUME WA HUMU KAMA UKOMA" wanapenda kutongoza tongoza sana na ni waongo.
Mie mara nyingi naandika kuhusu mapenzi na kufanya mapenzi; editor wangu ni mjomba wako uzuri_hatujuani , akili ikiwa imekaa sawa, naandika mada za kijamii kwenye JAMVI LA WANAWAKE - nenda kasearch huko uelimike.
We mgense una tuoshea Sana kudadadeki π πChunga sana vijana wanajiita majobless watakukula hafu wakuombe na hela Kiongozi wao huyu hapa Intelligent businessman ni matapeli mno hao.
I mean no malice to nobody πUsi seme wanaume wa humu, sisi wengine hatuna muda wa kusumbuana na mtu tusiye mjua.
Ah upo united states of amrica.
πππHalina shida ila huyu mgeni tajiri akimkataa tunampatia rais wetusasa Tajiri Sina BAYA unaonaje ule mradi mpya pale dodoma umpatie mgeni wetu kama zawadi ya kujitambulisha vizuri au unasemaje Harmful ππ
π π hakika, anahitaji first ladyπππHalina shida ila huyu mgeni tajiri akimkataa tunampatia rais wetu
SI ndiyo sasa nitakuwa namtag kwenye kampeni za rais kama first ladyπ π hakika, anahitaji first lady
πππHalina shida ila huyu mgeni tajiri akimkataa tunampatia rais wetu
Wangese sana nyieππ€£π π hakika, anahitaji first lady
Tulia mkuu πππsisi ni viunganishi hatuna shida na mademuWangese sana nyieππ€£
KaribuHello wakubwa zangu
Ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia JF kwenye simu ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
Fita ni fita mura.We mgense una tuoshea Sana kudadadeki π π
πππ ni wazo zuri mkuu ngoja kwanza nione elimu yake.sasa Tajiri Sina BAYA unaonaje ule mradi mpya pale dodoma umpatie mgeni wetu kama zawadi ya kujitambulisha vizuri au unasemaje Harmful ππ
ππ Ashalewa gongo huyo kiongozi wenu, huoni anavyo tukana hovyo.Tulia mkuu πππsisi ni viunganishi hatuna shida na mademu
Mtamuua njaa mrembo wa watu, vitabu vinatuambia tusitafute wenza hadi tuwe na nguvu (za kiume na ukwasi)πππHalina shida ila huyu mgeni tajiri akimkataa tunampatia rais wetu
Kweli we bwege nazi π€£πππ Ashalewa gongo huyo kiongozi wenu, huoni anavyo tukana hovyo.