Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,900
Mdogo wangu malkia, karibu sana JF.Hello wakubwa zAngu.ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia jf kwenye cm ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
Ataagza spana ya plastikiAgiza unachokitaka kutoka nchi yoyote duniani halafu nishtue, hiyo ni zawadi yako Tajiri nitalipia kila kitu.
No Reform no Ellection ,hapa hayuna porojo nyingi, unakaribishwaHello wakubwa zAngu.ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia jf kwenye cm ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
Notalipia mkuu kikubwa anipe bei tu.Ataagza spana ya plastiki
Mdogo wangu malkia, karibu sana JF.
Ushauri kama mama na dada ni mmoja tu "OGOPA WANAUME WA HUMU KAMA UKOMA" wanapenda kutongoza tongoza sana na ni waongo.
Mie mara nyingi naandika kuhusu mapenzi na kufanya mapenzi; editor wangu ni mjomba wako uzuri_hatujuani , akili ikiwa imekaa sawa, naandika mada za kijamii kwenye JAMVI LA WANAWAKE - nenda kasearch huko uelimike
Haya karibu sana weka na namba yako ya simu ili tukukaribishe vizuriHello wakubwa zAngu.ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia jf kwenye cm ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
Kaongo haka...kazoefu humuHello wakubwa zAngu.ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia jf kwenye cm ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
river au kwa trump?
Karibu .kijanaHello wakubwa zangu
Ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia JF kwenye simu ndogo ya batani..
Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all