Mgeni Jf, naombeni ushirikiano wenu.

Pyaar

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
15,338
75,510
Habari ndugu zangu, poleni na mihangaiko ya siku.
Ni muda mrefu nimekuwa nikisoma michango yenu kupitia majukwaa mbalimbali, nimekuwa nikijifunza kupitia elimu muitoayo, nimekuwa nikifurahi pia kwa mabandiko mbalimbali yanayofurahisha.
Hivyo nikavutiwa nami nijiunge rasmi ili tuelimishane na kufurahi pamoja.
Naombeni ushirikiano wenu.
 
Back
Top Bottom