Mgeni JamiiForums

weka namba ya voda na jina, ili nikichelewa kukubless buku kuna wengine watakubless,hapo utakuwa umetengeneza pesa nyingi kijanja zaidi au sio broh.
Aah mimi nataka yako tu, weka namba hapo unitumie hiyo buku.
 
Aah mimi nataka yako tu, weka namba hapo unitumie hiyo buku.
CHL9JN6RDDN imethibitishwa mnamo 21/8/25,12:05AM umepokea Tsh 1,000.00 kutoka kwa PAULO YAMAL MUHAS Salio lako ni Tsh 1,015.00.
Tuma au pokea pesa kutoka nchi 200.
.
 
Mhh! Haya bhana wengine hatutaki kujiintroduce!(hatutaki michoro)
 
Karibu sana mkuu, hapa madini yapo ya kutosha, ushindwe ww tu kutajirika mwaka huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…