Hahah! Africans are expert on making sex and over eating nothing else! Jitihada yoyote ya kuchochea Kashfa na ubaguzi wa kidini hata kwa mbinu za kificho zinaimarisha sana Dhulma ya jumla kwa jamii bila ya kujali nani ni nani!
Taifa lolote bila kumweka Mungu mbele lazima lianguke.Taifa lenye hofu ya Mungu lazima lisonge MBELE maana kwenye Hofu ya Mungu kuna Mapendo na Haki.Kila mtu ni shahidi kwamba nyerere alikuwa Mtu mwenye hofu ya Mungu na si ajabu Kanisa katoliki kuwa katika mchakato wa kumtangaza Mtakatifu.Nani asiyejua kwamba Enzi za Mwalimu wote tulikuwa tunaitana NDUGU na kwa kweli tulipendana sana kidugu.Magufuli naye akimshirikisha Mungu lazima tutasonga sana mbele.Sina hakika kama wengine hawakumshirikisha ila walau kwa Nyerere na Magufuli kumwalika TB Joshua walau nina imani nao.