Mama regina lowassa ndani. Wakati huohuo lowassa speaker wa bunge.
Mradi mwingine wa Kula fedha za Rafiki yake Jakaya aliepa akiwa Bagamoyo kuwa Urafiki wao utatenganishwa na Kifo!!!
Mama regina lowassa ndani. Wakati huohuo lowassa speaker wa bunge.
wanawake watabebwa adi lini...? wapambane kama kina Esta Bulaya, Matiko..n.k
Hivi viti ingekuwa hata Wanaume wapo eligible,UKAWA wangempatia Julius Mtatiro, na ndugu yetu Mchambuzi na Makamanda machachari wengine.
Mama regina lowassa ndani. Wakati huohuo lowassa speaker wa bunge.
Mama Regina ndiyo anastahili kugombea Uspika!
wanawake watabebwa adi lini...? wapambane kama kina Esta Bulaya, Matiko..n.k
Kitufe cha like sijui kwanini wamekiondoa, hili ni jibu murua, kuna watu hutiririka bila kujua wanadanganya.
Mgawanyo viti maalumu kwa kila chama
CCM 63
CHADEMA 43
CUF 7
ACT 0
NCCR 0
Hii ni kwa mujibu wa NEC... Kila chama kimevuna mavuno yake...heko lowasa kura za urais zimetuongezea viti wapinzani
Hivi makubaliano ndani ya UKAWA yapo vipi? Najua viti hivyo vimetokana na kura za uRais alizopata Lowassa.
Je vitakuwa mali ya CDM pekee au wana UKWAW wengine wana mgao?
Hivi makubaliano ndani ya UKAWA yapo vipi? Najua viti hivyo vimetokana na kura za uRais alizopata Lowassa.
Je vitakuwa mali ya CDM pekee au wana UKWAW wengine wana mgao?
Ni pamoja na kura zote za wabunge.
Kwa mgawanyo huu..ina maana idadi ya wabunge itakuwa ni 364 ambapo CCM itakuww na around 188 wa kuchaguliwa na 63 viti maalum hivyo jumla ni viti 251. Hii ni zaidi ya theluthi mbili ya kura za wabunge zinazohitajika kupitisha jambo lolote bungeni kwa njia ya kura. UKAWA have just missed it kuweza kukwamisha anything not on their favour. Labda kama wakifanikiwa kushinda rufaa zao jambo ambalo naliona ni unlikely. Viti vya UKAWA vyote ni 121 walitakiwa wapate around 123 tu.