Mgawanyo viti maalum Bunge la 11

Mgawanyo viti maalum Bunge la 11

Mgawanyo wa wabunge wa viti maalum umemalizika.Katika mgawanyo huo Chadema tumepata viti 43,huku CCM 62,CUF 7,NCCR &CUF 0!Tafakari sasa kama Lowasa ni asset ama liability

hizi taarifa nahisi si sahihi . mbona formula inakataa mkuu wametumia formula gani
 
Kwa chadema hivyo ni viti vya ndugu, jamaa, marafiki na mahawara.

Ushahidi ni bunge lililopita.

Unajua wewe kama kweli ni mwanamke kama avator yako inavyoonekana ndio maana huwa ninakutukana halafu unaniponza napigwa Bann, wabunge wawili wa CCM wamekufa Kigoda na yule mwingine habu ona waliochaguliwa kuwarithi ni akina nani?
Bahave yourself (ujiheshimu)
 
Chadema wawe na utaratibu wa kuwahamasisha na kuwajenga wabunge wa viti maalum kugombea majimboni 2020. Hii itasaidia kupunguza wale "safari ya mamba nao kenge wapo", kuongeza idadi ya wabunge hasa wanawake na kufanya bunge kama "Mafao Lounge".

Wazo zuri ila mkuu hili umeliona tu kwa cdm ambao wameanza kufaidi matunda haya sasa?
 
Kama mzazi wako alikuwa anakulipia school fees nampa pole kwa kupoteza pesa yake bora angenunulia ugoro tu, ila kama wewe ni product ya Mulugo well n good.
Hajui kura za urais zinahusika kwenye Luzuku tuu
 
Hivi makubaliano ndani ya UKAWA yapo vipi? Najua viti hivyo vimetokana na kura za uRais alizopata Lowassa.

Je vitakuwa mali ya CDM pekee au wana UKAWA wengine wana mgao?

Inaweza kuwa chanzo cha mfarakano kama hawakuweka vitu wazi toka mwanzo!

Kura ya rais haitumiki hata moja kuamua viti maalum isipokuwa hutumika kuamua Ruzuku, kura za ubunge majimboni ndizo zinazoamua Viti maalum
 
Tutegemee kuona sura za kichagga tupu ndani ya chaggadema.Teh
 
Kama mzazi wako alikuwa anakulipia school fees nampa pole kwa kupoteza pesa yake bora angenunulia ugoro tu, ila kama wewe ni product ya Mulugo well n good.

And where is the relation between my post and your garbage?
 
Kwa chadema hivyo ni viti vya ndugu, jamaa, marafiki na mahawara.

Ushahidi ni bunge lililopita.

Acha chuki wewe, Kagasheki na Catherine Magige wao walikuwa wanafanya nini?
 
yule ni wa cuf angekuwa cdm nadhani angepata. cuf wana viti vichache mno hivyo hawawezi kumpa

Huyu mama anaitwa Zamda Mwigune, alikuwa anaekubalika sana na wananchi wa Namtumbo akiwa cdm kabla ya jimbo kupewa cuf chini ya UKAWA.
 
Kwq hiyo mmekubali raundi ya kukatwa mara ya pili? Anataka kukatwa tena raundi ya tatu!
Jamaa ana moyo wa kupe!
Simpendi kabisa huyu jamaa, lakini nakuhakikishia akiamua kuwa spika atashinda kwa kura nyingi sana.
 
CUF ilikuwa na wabunge wawili tu bara, rudi shuleni muulize mwalimu wako wa somo la hisabati akufundishe tena upya kujumlisha, kuzidisha na kutowa. utapata jibu la CUF ndani ya UKAWA tena bila ya LIPUMBA.

Mkuu huoni hata alama ya kuuliza? Nauliza hv kwa sababu sikumbuki walikuwa na viti maalum vingapi Bunge la 10

Hata hvyo naelewa kupata majimbo mengi ukilinganisha na awamu iliyopita
 
Back
Top Bottom