Mgawanyo viti maalum Bunge la 11

Mgawanyo viti maalum Bunge la 11

Hayo ni mapovu ya wapuuzi, vipi ufalme wa ccm? mgimwa, kikwete, makamba, kigoda, masaburi , sitta kamuachia mke ubunge na mtoto kazawadiwa udiwani, bado viti maalum, kina mzindakaya, bulembo na wengine wengi. hilo janga ni la ccm.

kwa hiyo copy and paste CCM?
 
Ndani ya sheria ya uchaguzi hakuna kitu inatambulika kama UKAWa bali **** vyama tu
Pili viti maalumu vinatokana na idadi ya ubunge na sio kura za urais

Please be careful next time, Ok?
 
Viti maalum hutokana na kura za wabunge na siyo kura za urais. Kama ingekuwa kura za urais CUF wasingepata viti vyovyote kwani hawakuweka mgombea. Kura za urais hutumiwa kwenye mahesabu ya ruzuku.

Kama kura za Rais tu ndo zinatumika kukokotoa RUZUKU ina maana CUF na NCCR Mageuzi hawatapata ruzuku sasa?
 
Jamani viti maalum bado tunaendelea navyo tu!? Imetosha sasa!
 
Nabii wa uongo alitabiri Lowassa kuwa Rais, umesahau?



Acha kutukana watu,Magufuli keshaapishwa.Umezoea kutukana sana watu sasa inabidi ubadilike hii ni enzi ya KAZI TU.Natumaini na zile Ngonjera na Matusi kwa Mwl.Nyerere yatafikia mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Mlianza Kumtabiria Atapita Kuwa Mgombea Urais Ndani Ya CCM Akakosa, Mkamtia Ndimu Baba Wa Watu Ahamie CHADEMA Kwa Kumpa Matumaini Kuwa Anakubalika Na " Wapumbavu Na Malofa " Wengi Akakubali Na Kuingia Kichwa Kichwa Ameukosa Urais Sasa Tena Bila Hata Haya au Aibu Mnataka Mumtie Tena AIBU Ya Kufungia Mwaka Agombee Uspika Ambapo Hata Huko Napenyewe Atakosa. Hivi Lowassa Huwa Hana WASHAURI WANAOJITAMBUA? Kama Kawaida Yangu Nimekuwa Nikisema Mambo Na Yanatimia. Nilianza Na Kusema Dr. Magufuli Atapita CCM Na Nikasema Tena Atakuwa Rais Na Juzi Nikasema Waziri Mkuu Atakuwa Kati Ya Dr. Mwakyembe au Prof. Muhongo Na Sasa Nasema Kuwa Piga UA Spika Wa Bunge La JMT Ni Kati Ya Mussa Zungu au Job Ndugai au Samwel Sitta Na kupitia Wewe POPOMA Wa UKAWA Mwambie Kabisa Lowassa Kuwa ASIJISUMBUE Na Aende Sasa AKACHUNGE Ng'ombe Zake Kule MONDULI Huku Akilea Tu Wajukuu Zake Na Atuache Sasa CCM Na Serikali Yetu Ijayo Tufanye Kazi Ya Kuwaletea MAENDELEO Ya HAPA KAZI TU Watanzania.

No prediction with the options,
 
Jamani viti maalum bado tunaendelea navyo tu!? Imetosha sasa!

Ndiyo katiba inavyosema. So kwa kuwa Sitta aliivuruga mchakato wa katiba mpya hapo tutaendelea kuisoma namba.
 
Ndani ya sheria ya uchaguzi hakuna kitu inatambulika kama UKAWa bali **** vyama tu
Pili viti maalumu vinatokana na idadi ya ubunge na sio kura za urais

Hilo nalijua mkuu. Wanaweza kufanya kama ilivyokuwa kwa mgombea mwenza Duni Haji. Tunajua ni CUF piga, ua lakini kule kaenda kama mtu wa CDM!!
 
Kuna irene uwoya...
Juliana masaburi
Hawa masista duu wa instagram na vijiwe vya starehe nao watapata? ?

Huyo Binti wa Masaburi alihujumu Sana wenzie kule Mara. Akatwe kama tulivyomkata baba yake huku Ubungo
 
Kwa hiyo akihama chama kutoka CUF kwenda chadema bado anaendelea kuwa mbuge wa cdm ili ruzuku iongezeke kama unavyosema?


Kwenye siasa kila kitu kinawezekana. Nani angedhani Duni atachkua kadi ya CDM?
 
Huyo Binti wa Masaburi alihujumu Sana wenzie kule Mara. Akatwe kama tulivyomkata baba yake huku Ubungo

Yule bint ni type za uwoya vinguo vya uchi....starehe . Huko insta alikuwa anapost kavaa vya ajabu. Alivyojiona anagombea akafuta...jeuri na kujidai sasa usisemee....
 
Back
Top Bottom