Mgao wa umeme umenifanya niwe mlevi

MFILIPINO

Senior Member
Aug 19, 2010
157
11
Wana JF itabidi niilaumu serikali kwa kunifanya niwe mlevi kwani kila umeme unapokatika hasa usiku by saa moja najongea kwenye baa yenye umeme napiga laga zangu mpaka mida ya kulala naenda kulala, hata iwe monday, kwa hali hii mgao ukiendelea kwa miezi kadhaa ntakuwa chapombe! please serikali naomba mgao uishe, maana najua madhara yake ni makubwa
 
Aisee, mgao, mgao wa umeme
 
Nina wasiwasi na umri wako au huenda labda hauna familia, lakini kama ungekuwa na familia inayokutegemea sidhani kama ungekuwa na muda wa kufanya hayo unayoyafanya. Watu sasa hivi kila sehemu wanalia na mgawo wa umeme kiasi kwamba shughuli zao zote zimesimama watoto wao wameshindwa hata kurudi shuleni kwa kukosa ada hapo unafikiri huo muda wa kwenda kukesha bar atautoa wapi? Sasa hivi unaambiwa huo mgawo wa umeme utachukua zaidi ya miezi 6, ina mana hiyo miezi yote utaisubiria ukiwa huko bar? Siku hizi Wastani wa bia 1 inauzwa Tsh 1,500 huo muda unaosubiria umeme ukiwa huko bar lazima utatumia bia 4 je kwa muda wa hiyo miezi 6 utakuwa umetumia sh ngapi? Kama shida yako ni umeme hiyo hela kwanini usiende kununua Genereta? NDIO MANA KILA SIKU WA TZ WANIZIDI KUWA MASIKINI. Rafiki yangu kifupi tu ni kwamba huo uamuzi uliouchukua hauwezi kutatua hilo tatizo la umeme matokeo yake ndo unazidi kujimaliza kabisaaaaaaa!! TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA.
 
Tatizo umefanya conclusion ya jumla..unaposema anunue jenereta kwa sababu umeme unaweza kukatika miezi 6 ni jibu la kijumla, hizi bia hanywi za 300,000 kwa mara moja. Huyu anachoongelea ni kwamba pengine ana shughuli zinazohitaji umeme mayb laptop n.k sasa kwa mgawo huu..umeme ukikatika anakuwa hana la kufanya zaidi ya kwenda grocery..Kikubwa umeme urudi...kuliko kuwatatjirisha wenye majenereta ambao ndio haohao..
 
Kwa hiyo mgao umekuongezea hela au? kwa hiyo umefurahi kiasi cha kulewa au umechukia kiasi cha kuwa mlevi?????????
 
tatizo umefanya conclusion ya jumla..unaposema anunue jenereta kwa sababu umeme unaweza kukatika miezi 6 ni jibu la kijumla, hizi bia hanywi za 300,000 kwa mara moja. Huyu anachoongelea ni kwamba pengine ana shughuli zinazohitaji umeme mayb laptop n.k sasa kwa mgawo huu..umeme ukikatika anakuwa hana la kufanya zaidi ya kwenda grocery..kikubwa umeme urudi...kuliko kuwatatjirisha wenye majenereta ambao ndio haohao..
ukweli mtupu pumbatupu
 
nna mashaka siku utarudi tena hapa kusema ulevi umekusababishia mambo mengine mabaya......kwani hata mashoga na mateja wana sababu zao kuingia katika mambo wayafanyayo sasa akili kumkichwa
 
Msichoelewa ni nini?
kutokana na ndani kutokua na umeme, vitu kama TV & RADIO ambavyo wengi wetu ndo tunazugia navyo usiku kabla ya kulala vinakua hakuna.
Sasa bar nyingi unakuta wana jenereta, so angalau unaweza ukapitisha muda pale na bia mbili tatu ukisubiri mida ya kulala urudi home.
Mwishowe ''MAZOEA HUJENGA TABIA''
 
Nakuunga mkono kabisa kaka.

Mimi mwenyewe kila jioni ikifika lazima tupigiane simu na baadhi ya friends tunachagua sehemu gani ya ku-hang out, ingawa situmii pombe nawaona watu wengi wanaolazimika kunywa bia ili ku-buy time hadi ifike saa tano au sita warudi kulala. Asikudanganye mtu hata kama una jenereta ile mikelele inaboa hata kukaa ndani na kama unaishi nyumba ya kupanga ndio kabisa unawakera majirani zako ambao wanalala mapema gizani wakati wewe unapata raha na dude lako.

umechagua jambo la maana, kwa kuwa serikali ina kosa kodi kwaajili ya upungufu wa umeme, wewe utakuwa unasaidia kuongeza pato la TBL ili walipe kodi vizuri ili tupate pesa za kuwalipa wabunge wetu posho wanapokwenda kuchapa usingizi mjengoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom