Mgao wa umeme umenifanya niwe mlevi

Wana JF itabidi niilaumu serikali kwa kunifanya niwe mlevi kwani kila umeme unapokatika hasa usiku by saa moja najongea kwenye baa yenye umeme napiga laga zangu mpaka mida ya kulala naenda kulala, hata iwe monday, kwa hali hii mgao ukiendelea kwa miezi kadhaa ntakuwa chapombe! please serikali naomba mgao uishe, maana najua madhara yake ni makubwa

am afraid hiyo ni tabia yako tu kwa nini usifikirie kitu kingine cha kufanya instead. huwezi kuwa na activities nyingine zaidi ya pombe? nakushauri utunze pesa ununue generator ili ukae nyumban na familia, huko gizani unaenda kujiletea balaa tu kumbuka mambo yote yasiyo masafi hufanyika gizani/nyuma ya pazia.. Rev masanilo \kataja mojawapo ngono zembe!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom