Sasa napata wasiwasi hata hao waandishi wa habri BBc wana hongwa, au wanaambiwa nini waulize, maana hayo mwaswali yao wanauliza utafikiri wana tumia tumbo kufikiri wala sio akili, kwanini wasimuulize " mbona haya matatizo hayapati ufumbuzi wa kudumu kila mara ni DHARULA", kwanini hakuna mipango endelevu, kama mtera ilijengwa kwa ili iweze kuzalisha zaidi ya uwezo inakuwaje leo kila mitambo inayoletwa hapa nchini inakuwa Mega Watt 100, hao waandishi mbona hawaulizi issue ya JAIRO maana ndo top newz sasa, ni hao hao BBC swahili walitabiri JK atashinda kwa kishindo, sioni ajabu na leading questions kwa JK