Mgao wa Umeme: Tatizo ni UKAME - Kikwete akihojiwa na BBC

Sasa napata wasiwasi hata hao waandishi wa habri BBc wana hongwa, au wanaambiwa nini waulize, maana hayo mwaswali yao wanauliza utafikiri wana tumia tumbo kufikiri wala sio akili, kwanini wasimuulize " mbona haya matatizo hayapati ufumbuzi wa kudumu kila mara ni DHARULA", kwanini hakuna mipango endelevu, kama mtera ilijengwa kwa ili iweze kuzalisha zaidi ya uwezo inakuwaje leo kila mitambo inayoletwa hapa nchini inakuwa Mega Watt 100, hao waandishi mbona hawaulizi issue ya JAIRO maana ndo top newz sasa, ni hao hao BBC swahili walitabiri JK atashinda kwa kishindo, sioni ajabu na leading questions kwa JK
 
Soon will be dragging the name of God into power crisis saga ,oh unajua tena kudra za mwenyezi Mungu.
 
Kama board meeting ya tanesco inafanyikia nje ya nchi wewe unafikiria hapo kuna ufanisi. Kwanza kuna harufu ya rushwa kwenye mitambo iliyofika nchini juzi. Ninafuatilia maana huko kikao cha board kilipofanyikia ndio mitambo imwtoka huko. Sasa ch kuchekesha zaidi watuambie wamenunua kwenye kamuni gani, hapo ndio utajua tanzania shamba la bibi!
 
Yaani on top of aibu yote hii mkulu anajisifia kwamba wameongeza 300MW in 6yrs na kumekuwa na 600MW toka tupate uhuru????????Duh!!! huyu mkulu wetu kweli is a joke!!!!!! Anywayz lakini ndiyo stahili yenu watanzania . Mliyataka wenyewe 2005 na tena 2010.
 
Ndiyo shida ya kuwa na serikali isiyo makini.... Hata mwalimu alisema ukiwa na viongozi wasiyo dhabiti hata serikali ikakuwa rojo..

Rais hana aibu kusema kuwa ukame... Kweni ni ukame lakini tangu 2007 hadi leo ni hakua gani zilichukuliwa za muda mrefu....

Kweli tanzania nchi yangu naipenda sana...
 
Wakati Nyerere anatengeneza zile MW600 ambazo Kikwete anaonekana kupuuzia at the same time, alikuwa anajenga reli ya Uhuru, mashule, vyuo (vya polisi, magereza, ualimu n.k); alikuwa hana wasomi kama ambavyo Kikwete anao leo - as a matter of fact alikuwa na madaktari wawili na mainjia 12 ??? waliosoma wakati wa Mkoloni. Wakati tunatengeneza hizo MW600 dunia ilikuwa imegawanyika katika pande mbili sababu ya Vita Baridi. Wakati hivyo vyote, tulikuwa na chokochoko za Makaburu na vita ya Idi Amin..

Najiuliza hivi kama angekuwa yeye wakati huo sijui tungefanya nini!
 
MM nadhani umegusa kabisa. JK sio raisi wa mwaka 2010, amekuwa raisi tangu 2005 na mgao wa umeme umeanza tangu 19xx, jee yeye aliweka mpango gani endelevu?

Na kama anafahamu demand ni kubwa kwa nini walikubali deal ya Richmond ambayo ni less than 200MW? Huyu jamaa anakejeli watanzania wote wakati yeye amekaa kwenye ikulu ambayo umeme ni 24 7
 
tanesco na serikali wanamatatizo sana. huu mgao haupaswi kutetewa na hoja nyepesi za rais jk na kwangu tatizo c mgao 2 hata ratiba za mgao ni bomu. hakuna ratiba ya mgao au km ipo haifuatwi,wanakata umeme wanavyotaka wao na wnarudisha wanavyotaka wao na huo ni udhaifu mwingine wa serikal na tanesco kushndwa ku2pa umeme wa uhakika na pia hata huo uliokuwepo wanshindwa kuugawa kwa usawa. sick n tired of them and as 4 now I cherish strikes n demostrations....
 
JK ni kama vile amerukwa na akili sometime. Yaani kwenye suala la umeme yeye haoni demand kubwa inayoletwa na hao wawekezaji wasiolipa kodi wa madini over 200 MW zinakwenda kwao, kwa hiyo bila hata viwanda, mahoteli, apartments, saloons blah blah kila mwaka TANESCO inatakiwa kuongeza 150MW kumeet normal growth.

anyways, tuache hayo amesema tuseme cha kufanya::

JK ukiwa Ikulu kesho, amua yafuatayo::

1) Tax exemptions zote zifutwe for the next 3 yrs under emergency powers kutokana na janga la taifa (Yaani Minister of Finance asiruhusiwe kutoa exemptions anazotoa sasa hivi) Hapa tutapata at least $500 million extra per yr.

2)Investment 2 zifanyike NOW, Yaani funds zitafutwe ASAP ambazo zitakuwa covered from extra tax revenue from abolishing Tax exemptions ili KIWIRA ianze kujengwa tupate thermal kama 400MW in the next 24months, halafu SONGOSONGO bomba lipanuliwe NOW, na mitambo ya gas ya 300MW iagizwe NOW ili in 24 months, tuwe na extra 700MW TOTAL.

Halafu ndio mambo ya distribution investments nayo yajadiliwe in the next 30 days.

NI HAPO tu ndio suala la umeme litakuwa history TZ, otherwise kila mwaka tutakuwa tunadiscuss issue hii hii
 
Dark City, tatizo kubwa liko kwa majority ya watu wetu!!! Root problem ni watu kutotambua kuwa JK na chama chake ndiyo kiini cha majanga yote tunayoyapata!! Wewe fikiria, hivi kweli JK hana watu wanam-coach kujibu maswali akiwa ughaibuni!! Yaani aides wanaoona mbali, na kutambua kwa yeye kuwa nje issues atakazotegemea kuulizwa zipo wazi tu, and so kumtengenezea majibu yenye hadhi ya ki-rais!!!

JK akiwa nje majibu yoooooote huwa ni bomu tu....yaani hili nalo aliona ni jibu kweli!!! (Let's just leave the context and the reallity ya matatizo yetu, tuone PR yake tu...) ni disaster!!!!

Kakobe, Mwingira, Lwakatare, hamasisheni waumini wafunge na kuomba, huyu rais ni janga!!! Maana hakuna njia nyingine kwa status ya watu wetu.

Tuko kama million 40 approximately natamani tungekuwa na kama watanzania million 5 wenye uelewa huu kuhusu rais wetu I'm sure ingemake tofauti kubwa sana. Mimi nasema siku zote kwamba, mgao, mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha kila siku, ukosefu wa huduma/madawa, hospitalini, ukosefu wa madawati/walimu na matatizo mengine kwenye sector ya elimu na majanga mengine yote yanayolitesa Taifa kwa sasa na yatakayo litesa Taifa mbeleni si matatizo hasa bali ni dalili za tatizo kubwa tulilonalo ambalo ni kutokuwa na RAIS MAKINI huku tuna katiba ambayo imemfanya RAIS KUWA MUNGU MTU.

Kuna eneo moja tu huwa namlaumu Baba wa Taifa sana, nalo ni katiba. Alifanya makosa sana kuondoka madarakani pasipokubadilisha katiba kwani ile katiba ilimfaa yeye tu maskini mzee wa watu hakujuwa kwamba kuna siku tutaweka wagonjwa magogoni watuongoze kwa katiba hiyo hiyo kitu ambacho ni disaster. Hivi hii issue kwamba yeye si mvua wasaidizi wake hawakumshtua last time kwamba asirudie tena kujibu hivyo? Hivi 2006 aliposema soon mgao utakuwa historia alikuwa amesahau kwamba yeye si mvua? Kwa mvua sisi tunahali nzuri kuliko majirani zetu wote lakini tunongoza kwa mgao.
 
Pasco, mi naona Nyunyu alikuwa sawa kwa kauli yake kusema kuwa hatuna Presidee! Kama kweli ulikuwa makini na kumsikiliza, mie nilihisi anafanya jokes! Na nukuu "Serikali hailete mvua, teh,teh,teh." mwisho wa nukuu. Kuwa rais ni majukumu na kutambua majira na nyakati, Kauli zake zinamfanya abaki kuwa Presidee figure! Hivi asume umeolewa na mwanaume akawa hajiwezi mambo fulana hutatoa kauli ya kubeza kweli hapa sina mwanaume japo ki-maumbile aoneka kidume? Usiwe na mawazo mgando kiasi hicho! Ukiona hujaelewa jiongeze kwa kuna nywele! Na kama ubongo umeota kutu basi kunywa red-oxide!
 
Mimi nilimsikiliza jana sikumwelewa kabisa........ukame unajulikana miaka mingi.....ameulizwa kuhusu vyanzo vingine anarukaruka tuu
 
Pasco,

Nimejitahidi kusoma posts zako zote na nilianza kupata hasira sana (kinyume na mategemeo yangu) ila baada ya kurudia mara mbili mbili nimeanza kukuelewa unakoelekea!!

Nadhani tusubiri ili tuone JK anamaliza ana marks ngapi...Kutoka A hadi C ndani ya miaka 5 na sasa nadhani yuko below 20% na ninaamini atamaliza na namba za viatu (single digits)!!

Tuendelee kujadili!
 
JK ni kama vile amerukwa na akili sometime. Yaani kwenye suala la umeme yeye haoni demand kubwa inayoletwa na hao wawekezaji wasiolipa kodi wa madini over 200 MW zinakwenda kwao, kwa hiyo bila hata viwanda, mahoteli, apartments, saloons blah blah kila mwaka TANESCO inatakiwa kuongeza 150MW kumeet normal growth.

anyways, tuache hayo amesema tuseme cha kufanya::

JK ukiwa Ikulu kesho, amua yafuatayo::

1) Tax exemptions zote zifutwe for the next 3 yrs under emergency powers kutokana na janga la taifa (Yaani Minister of Finance asiruhusiwe kutoa exemptions anazotoa sasa hivi) Hapa tutapata at least $500 million extra per yr.

2)Investment 2 zifanyike NOW, Yaani funds zitafutwe ASAP ambazo zitakuwa covered from extra tax revenue from abolishing Tax exemptions ili KIWIRA ianze kujengwa tupate thermal kama 400MW in the next 24months, halafu SONGOSONGO bomba lipanuliwe NOW, na mitambo ya gas ya 300MW iagizwe NOW ili in 24 months, tuwe na extra 700MW TOTAL.

Halafu ndio mambo ya distribution investments nayo yajadiliwe in the next 30 days.

NI HAPO tu ndio suala la umeme litakuwa history TZ, otherwise kila mwaka tutakuwa tunadiscuss issue hii hii

Unajua kwa ukichwa ngumu angeweza hata kuwithdraw ule mpango controversial wa kilimo kwanza kwa muda ili kufix hii ishu! Kuna kama 1.5 Trillioni shillingi kule. Anywayz lakini mtu anayeona ameipigisha hatua kubwa Tanzania toka ipate uhuru inabidi tusikitike tu!
 
Mauritania hawana mvua kabisaa........angalia mipango yao

Before the year 2000 parastatal utility, the National Company of Water and Electricity or Société Nationale d'Eau et d'électricité (SONELEC), was responsible for the supply of electrical power and water in Mauritania. The company had become privatized in 2000 and this resulted in the formation of two new private companies being responsible for the supply of water and electricity separately. The National Water Company (SNDE) dealt with the water supply of the country and the Mauritanian Electricity Company/Société Mauritanienne de l'électricité (SOMELEC) became solely responsible for the supplying electrical power.
In line with Mauritania's liberal economic reforms, the formation of SOMELEC allowed for more investment and continual budgetary support, improving the electrical power supply and expanding the electrical power distribution network in the country. Since SOMELEC'S privatization, Mauritania's electrical power generation has been heavily dependent on thermal power plants, but increased investment has resulted in new technological knowledge and project initiatives being brought into the country.
With this in mind, SOMELEC has aimed to significantly increase the distribution rate in towns with existing networks by improving security conditions and setting prices compatible with household purchasing power. The company has also planned to bring electricity to urban and rural areas that have not been connected in its national grid. Falling in line with these aims, SOMELEC'S specific objectives for the five-year period from 2003 to 2008 is to extend electricity supply networks to many new regions in urban, semi-urban or rural areas, and to increase the effectiveness of various production units including those at Nouakchott and Atar.
Mauritania has also been receiving electrical power from Mali through recent hydropower developments, due to a power sharing agreement between the two countries.

The Manatali hydropower project was completed in 2003. The project consisted of a 200-MW power station and an 800-mile (1,300-km) network of transmission lines to the capitals of Mali (Bamako), Mauritania (Nouakchott) and Senegal (Dakar). This development initiative supplies electricity to the grids of Mali, Mauritania, as well as Senegal.
The project has also allowed for the construction of a single-circuit, 100km long, transmission line connecting Kaedi to Boghe, and having an exchange capacity of 24MW. This included the expansion of the 90kV Kaedi substation, the supply and installation of the overhead lines, cables, switchgear, protection and control equipment. All of which was necessary to reinforce the system and connect the substations at Kaedi, Boghe and Rosso with the corresponding 15kV SOMELEC power generating stations in these three towns in Mauritania.
 
Wakati Nyerere anatengeneza zile MW600 ambazo Kikwete anaonekana kupuuzia at the same time, alikuwa anajenga reli ya Uhuru, mashule, vyuo (vya polisi, magereza, ualimu n.k); alikuwa hana wasomi kama ambavyo Kikwete anao leo - as a matter of fact alikuwa na madaktari wawili na mainjia 12 ??? waliosoma wakati wa Mkoloni. Wakati tunatengeneza hizo MW600 dunia ilikuwa imegawanyika katika pande mbili sababu ya Vita Baridi. Wakati hivyo vyote, tulikuwa na chokochoko za Makaburu na vita ya Idi Amin..

Najiuliza hivi kama angekuwa yeye wakati huo sijui tungefanya nini!

Angewaita watanzania wote Ikulu kumpa mbinu za kumovisha gurudumu la nchi hii lililozama kwenye tope zito!!

Ni aibu sana ila pia ni bahati mbaya kwamba hatuwezi kuimbia...Ni sawa na kuzaliwa na baba ambaye ana mtindio wa ubongo..Utaukwepaje ukweli huo?
 
JK ni kama vile amerukwa na akili sometime. Yaani kwenye suala la umeme yeye haoni demand kubwa inayoletwa na hao wawekezaji wasiolipa kodi wa madini over 200 MW zinakwenda kwao, kwa hiyo bila hata viwanda, mahoteli, apartments, saloons blah blah kila mwaka TANESCO inatakiwa kuongeza 150MW kumeet normal growth.

anyways, tuache hayo amesema tuseme cha kufanya::

JK ukiwa Ikulu kesho, amua yafuatayo::

1) Tax exemptions zote zifutwe for the next 3 yrs under emergency powers kutokana na janga la taifa (Yaani Minister of Finance asiruhusiwe kutoa exemptions anazotoa sasa hivi) Hapa tutapata at least $500 million extra per yr.

2)Investment 2 zifanyike NOW, Yaani funds zitafutwe ASAP ambazo zitakuwa covered from extra tax revenue from abolishing Tax exemptions ili KIWIRA ianze kujengwa tupate thermal kama 400MW in the next 24months, halafu SONGOSONGO bomba lipanuliwe NOW, na mitambo ya gas ya 300MW iagizwe NOW ili in 24 months, tuwe na extra 700MW TOTAL.

Halafu ndio mambo ya distribution investments nayo yajadiliwe in the next 30 days.

NI HAPO tu ndio suala la umeme litakuwa history TZ, otherwise kila mwaka tutakuwa tunadiscuss issue hii hii

Kweli mkuu,

Na kazi ya ujenzi awapa JWTZ...Mbona huwa wanajenga madaraja ndani ya masaa 48??

Hii nchi imekosa viongozi kabisa...Nadhani hata wananchi wameihama. Imebaki ni mahame (mwitongo)!!
 
Wakati Nyerere anatengeneza zile MW600 ambazo Kikwete anaonekana kupuuzia at the same time, alikuwa anajenga reli ya Uhuru, mashule, vyuo (vya polisi, magereza, ualimu n.k); alikuwa hana wasomi kama ambavyo Kikwete anao leo - as a matter of fact alikuwa na madaktari wawili na mainjia 12 ??? waliosoma wakati wa Mkoloni. Wakati tunatengeneza hizo MW600 dunia ilikuwa imegawanyika katika pande mbili sababu ya Vita Baridi. Wakati hivyo vyote, tulikuwa na chokochoko za Makaburu na vita ya Idi Amin..

Najiuliza hivi kama angekuwa yeye wakati huo sijui tungefanya nini!

Halafu pia hizo 600MW operation cost yake inaweza kuwa only 10% ya hizo 300MW JK anazojisifu nazo!
 
Back
Top Bottom