TANESCO: Huu ni mgao au mmeamua kukata huduma kabisa

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,308
35,852
Kata ya Kivule na Majohe ipo gizani sasa inaendea masaa 24 toka Tanesco wakate umeme. Si kawaida hali kutokea na hamna taarifa yoyote ya mababiliko ya ratiba ya mgao. Kama mmeamua kukatisha kutoa huduma maeneo haya tangazeni wananchi wajue namna kupata umeme wa uhakika kwa njia zingine mbali na Tanesco. Mnakera sana nyie kenge
 
Back
Top Bottom