Mgao wa umeme na maji Moshi

LUKAMA

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,081
1,271
Tanesco wamezidi sana kuanzia weekend umeme unakatika ikifika saa tatu usiku na unarudi usiku wa manane, watu wengine shughuri zetu tunafanya usiku pia kuna viwanda vinavyofanya kazi hasa kipindi cha usiku

Shida nyingine maji yakatika sana hasa mitaa ya KCMC na rau, ivi ninavyo andika hapa Rau hakuna maji, yanarudi usiku wa manane tena sio safi yanakuwa na tope la kutosha na yanatokakwa muda wa masaa 3 au 2. Moshi kuna mito yakitosha, waafrika na selikali zetu sijui tunashida gani hapa nchini ya jua😳

Magufuli huko uliko tusamehe sana kwa kukusema vibaya, ulikuwa bora kuliko maraisi wote waliopita na aliyepo kwa sasa

Makamba na Tanesco wanatuingiza kwenye mikataba ya hovyo na wemeanza kuzurula kwenye nchi za watu baba.

Kungekuwa na uwezekano ungeamka hata kidogo

Nawasilisha
 
Kwahiyo unadhani MOWASSA wanafanya makusudi au vipi?

Magufuli alileta upatikanaji wa maji wa uhakika 100pc usioweza kuathiriwa na mabadikiko ya tabianchi?

Mto Ruvu umeuona?

Nadhani ungeleta ajenda ya taifa kutafuta vyanzo vingi vipya vya maji...hii yakuanza kusema Magufuli was the best president ever halisaidii chochote maana hata kabla ya Magufuli Moshi haikuwa na shida hii ya maji inayoonekana sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe hujui Moshi vizuri kipindi cha JK ukifika mwezi wa sita umeme unasumbua maji week nzima yanakua hakuna watu kalibia wote walikuwa wana enda ccp au line police

Alivyo ingia magufuli matatizo yote yalipungua kama sio kuisha kabisa umeme ukikatika lazima watangaze
Kwangu mimi bora magu
 
Kwanini ilikuwa mwezi wa sita na miezi mingine yanatoka?
 
Poleni, maji kutoka machafu ni tatizo ila kwa jua lililopo mgawo lazima
Hatupo dodoma unajua, tupo chini ya mlima kilimanjaro boss kuna mito kama yote
Maji yanashuka kwenye umwagikiaji kwenye mashamba ya Tpc na rai wakawaida kwanini kuwe nashida ya maji tena yakitoka yanakuwa na tope
 
Usije juongelea JR umu hutaeleweka hata moshi hakuna shida ya maji dar maji yana kaa siku mbili ayatoki moshi maji ayawezi kaa ,24 hrs iache moshi unatuletea tabia za kimei kusema wachaga
 
Ila umeme kweli wanakata sana.... yaaani hadi keroo tangia mwaka jana. Kuhusu maji sijashuhudia labda kama week hii ndo wamekata ila kuanzia week iliyopita ambapo ndo nlitoka moshi ijumaa sijawahi kuona mgawo wa maji rau
 
Upo aise umeanza

Kumbe wewe jirani angu kabisa aise karibu siku nyingine ukija moshi
 
Tanesco wamezidi sana kuanzia weekend umeme unakatika ikifika saa tatu usiku na unarudi usiku wa manane, watu wengine shughuri zetu tunafanya usiku pia kuna viwanda vinavyofanya kazi hasa kipindi cha usiku
Shida nyingine maji yakatika sana hasa mitaa ya KCMC na rau, ivi ninavyo andika hapa Rau hakuna maji, yanarudi usiku wa manane tena sio safi yanakuwa na tope la kutosha na yanatokakwa muda wa masaa 3 au 2. Moshi kuna mito yakitosha, waafrika na selikali zetu sijui tunashida gani hapa nchini ya jua

Magufuri huko uliko tusamehe sana kwa kukusema vibaya, ulikuwa bora kuliko maraisi wote waliopita na aliyepo kwa sasa

Makamba na Tanesco wanatuingiza kwenye mikataba ya hovyo na wemeanza kuzurula kwenye nchi za watu baba
Kungekuwa na uwezekano ungeamka hata kidogo

Nawasilisha
Kila aliyeshangilia 17/3/2021 atafikiwa kwa muda wake na atajuta sana tu
 
Hapo ulipomtaja Makomeo ndo ulipokosea sasa, na mkome kabisa ikiwezekana umeme na maji yasirudi kabisa ili akili ikae sawa. Nyambafu
 
Ubungo hapa song gasi roka asubuhi hakuna umeme na taarifa hakuna
Ila.itafika siku watu watachoka
 
Back
Top Bottom