LUKAMA
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,081
- 1,271
Tanesco wamezidi sana kuanzia weekend umeme unakatika ikifika saa tatu usiku na unarudi usiku wa manane, watu wengine shughuri zetu tunafanya usiku pia kuna viwanda vinavyofanya kazi hasa kipindi cha usiku
Shida nyingine maji yakatika sana hasa mitaa ya KCMC na rau, ivi ninavyo andika hapa Rau hakuna maji, yanarudi usiku wa manane tena sio safi yanakuwa na tope la kutosha na yanatokakwa muda wa masaa 3 au 2. Moshi kuna mito yakitosha, waafrika na selikali zetu sijui tunashida gani hapa nchini ya jua😳
Magufuli huko uliko tusamehe sana kwa kukusema vibaya, ulikuwa bora kuliko maraisi wote waliopita na aliyepo kwa sasa
Makamba na Tanesco wanatuingiza kwenye mikataba ya hovyo na wemeanza kuzurula kwenye nchi za watu baba.
Kungekuwa na uwezekano ungeamka hata kidogo
Nawasilisha