Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 5,738
- 15,211
Hotel ya kimataifa yenye hadhi ya nyota tano ya sea cliff imewaonya wateja wake kuacha kutumia maji vibaya pindi wanapokuwa kwenye hotel hiyo kwani wameambiwa maji hayatatoka mpaka siku ya jumamosi jioni kutokana na mgao wa maji unaendelea kwenye jiji la Dar kwa sasa.
Jionee press release yao hapa.
Sijui mzee wa tutashitakiwa MIGA ana maoni gani.
Jionee press release yao hapa.
Sijui mzee wa tutashitakiwa MIGA ana maoni gani.