Mgao wa maji Dar: Hotel ya Sea Cliff yawaonya wateja wake

Hotel ya hadhi kama hiyo haikutakiwa kuandika Tangazo Kama Hilo..inajishusha hadhi..wangeweka mfumo hata wa kurecycle maji etc..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio utaratibu wa nchi zilizoendelea.
zimetoa maji wapi
Kwenye visima, ujuwe kuna sehemu wanawashangaa mnaolalamika mgao wa maji ya Dawasa wao hawajawahi hata kuyaona, wanatumia maji ya visima matamu na safi kabisa.
Mfano mtu wa mbagala akisikia mgao wa maji anabaki kuwacheka tu.
5 star my ass, ishakua lodge hiyo
Huelewi
Ndiyo shangaa 😂😂 afrika ni afrika tu
Hujatembea, tena sehemu nyingine uzunguni unapewa mpaka semina ya kutumia umeme na maji, zima taa ukitoka chumbani, funga shower unapojipaka sabuni.

Marekani waliwekewa mpaka kiwango cha liter za kuoga.
 
Ingekua rahisi hivyo hata Dawasa wasingesumbuka na Ruvu, desalination ni shughuli pevu, sana sana maji ya bahari
Tunaongeza midege ya nini wakati wananchi hawana maji ya uhakika? Desalination ina gharama Tanzania pekee huko kwingine ina nafuu? Sema hatujui tuanze na lipi ndo maana tuko kama watoto. Ukumpeleka mtoto wa kiafrika dukani badala ya kuchagua kitu cha kula anachagua Mdoli wa ndege.
 
Yaani ni ajabu hotel kubwa kama hiyo kukaa kutegemea maji ya dawasa badala ya kuchimba kisima cha maji. Kwa ukanda hotel ilipo, maji yapo karibu tu kisima hakizidi hata mita 50
 
Na ukipiga hesabu hotel inavyowaingizia hela na still hawana option zaidi ya dawasa kwenye maji! Hii inaonyesha hawako serious
Hawawezi kuwa serious! Wangechimba visima wakaweka mtambo mkubwa wa reverse osmosis hata wa 50M tu maji yanatoka baridi kama ya mvua tu!

Wanapump maji yanapenya kwenye filters yanatoka baridi safi kabisa. Ningekuwa na mtaji ningetafta mafundi nikaagiza mitambo hii na kuwafungia raia wanaoteseka na visima vya chumvi kupata maji safi.

Hela ingepatikana na kuachana na hawa wapuuzi wa dawasco. Hela ya bills bora kununulia luku ya kupandisha maji
 
Back
Top Bottom