Mgao wa maji Dar: Hotel ya Sea Cliff yawaonya wateja wake

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,709
15,164
Hotel ya kimataifa yenye hadhi ya nyota tano ya sea cliff imewaonya wateja wake kuacha kutumia maji vibaya pindi wanapokuwa kwenye hotel hiyo kwani wameambiwa maji hayatatoka mpaka siku ya jumamosi jioni kutokana na mgao wa maji unaendelea kwenye jiji la Dar kwa sasa.

Jionee press release yao hapa.

Sijui mzee wa tutashitakiwa MIGA ana maoni gani.

IMG-20211119-WA0015.jpg
 
Kwa hiyo hotel ya nyota tano inashindana na wanyonge kutumia maji ya dawa siko na umeme wa taa ni siko.....
 
Back
Top Bottom