Mganga mkali wa ndumba anahitajika

dr lumilo

JF-Expert Member
May 26, 2016
271
67
Ndugu wana jf nina shida kidogo ..mtaani kwetu kuna dada nimemzimia kichiz lakin kila nikimtongoza hanielew yapata mwaka sasa ...ndugu nimewaza nikajifikilia kuwa ngoja nijaribu upande mwingine wa shilingi naataka nitumie ndumba au uchaw ..mwenye utaalamu wa ndumba izo anitafutee...nipo serious wakuu
 
Nilipoona kichwa cha habari nikakimbilia mbio, sasa wewe broo aliekwambia mapenzi yanarogwa nani?
 
Hahahaha Ndumba Haidumu Sasa Nikuambie.. Wangapi Baadae Wanakamatwa Hata Bongo Movie Huangalii
 
Watu wangu wanaangamia kwa kusosa maarifa, hivi unaelewa kuwa Mungu alituumba kwa mfano wake? Mganga unaemtafuta anamuomba Mungu. Kwanini wewe mwenyewe usimuombe Mungu kwa moyo wako wote?
 
Mkuu umeshajaribu ndumba ya pesa?
Hii huwa naiamini sana kama haikoseagi kabsa.
 
Shirki Ni mbaya vyovyote vile itakavyokuwa, Haina faida isipokuwa Ni kujidanganya tu kwa matokeo ya mda mfupi...

Usidanganyike na Starehe ya dunia, dunia utaiacha hapa hapa, hutobeba hata sh 100. Pia huyo binti utamuacha hapa hapa Kama ukianza kutangulia kufa.

Wanawake Ni wengi Sana... Usitafute madhambi kwa makusudi.

Pole kwa kukosa kumtegemea mola wako na mola wa huyo utakaye mwendea na mola wa yule atakae tumiwa na umuendeaye(jini).
 
Watu wangu wanaangamia kwa kusosa maarifa, hivi unaelewa kuwa Mungu alituumba kwa mfano wake? Mganga unaemtafuta anamuomba Mungu. Kwanini wewe mwenyewe usimuombe Mungu kwa moyo wako wote?
Mkuu mganga hamuabudu Allaah, Bali anaabudu majini/mashetani. Hata Kama utamkuta anashinda msikitini MDA mwingi, na anasijda mpaka kwenye ncha za midomo.
USIDANGANYIKE.

Na Kama unakusudia mungu kwa maana muabudiwa Basi wao Wana muabudiwa wao ambae Ni hao mashetwani... Uff
 
Ndugu wana jf nina shida kidogo ..mtaani kwetu kuna dada nimemzimia kichiz lakin kila nikimtongoza hanielew yapata mwaka sasa ...ndugu nimewaza nikajifikilia kuwa ngoja nijaribu upande mwingine wa shilingi naataka nitumie ndumba au uchaw ..mwenye utaalamu wa ndumba izo anitafutee...nipo serious wakuu

Acha kutafuta dhambi za kujilazimishia, hupendwi TAFUTA njia za halali, zimekwama hamia Airtel...
 
Naeza mpata wapi?
Mkuu mwanaume nikupambana njoo Tz ujaribu na maisha usijifungie tu huko, maisha ni popote pia usikubali kukata tamaa ni dhambi, jipange ukishatibiwa nikupe mbinu za kupata riziki kupitia biashara

Pia usijilazimishe kutoa usichokua nacho utazidi kukuumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom