Mganga hajigangi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mganga hajigangi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Aug 27, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamaa mmoja alishinda bahati nasibu sh.milioni 20.Kwa sababu ya matatizo ya Blood pressure aliyokuwanayo,waendesha bahati nasibu wakaamua kumtafuta daktari ili ampe mshindi ushauri wa kisaikolojia kabla ya kutajiwa kiasi alichoshinda.Daktari akauliza ni zawadi gani atapewa mara baada ya kumpa mshindi ushauri wa kisaikolojia?.Waendesha bahati nasibu wakamwambia,'utapata sh.milioni 10 taslimu'.Yule daktari mara baada ya kusikia dau,alianguka chini na kupoteza fahamu papo hapo.
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!
   
Loading...