Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa

Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Kwa siku kadhaa ndani ya mitandao ya kijamii wamachama wa chama cha mapinduzi (CCM) wamekuwa wakilitumia jina langu kwamba eti wamenishawishi kujiunga na chama chao na kuwa siku ya jumapili tarehe 23/08/2015 nitajiunga na chama chao, katika uzinduzi wa kampeni zao

WALIYOYAFANYA.

1. Ni kweli na dhahiri kwamba CCM wamenishawishi kwa fedha na vyeo ili nijiunge na chama chao.
2. Wamewatuma wazee wengi sana kuja kunishawishi akiwemo katibu mkuu wao, mkuu wa usalama wa taifa, wazee wa chama chao nk.

MASWALI YA KUJIULIZA.

1. Kwa nini CCM wananifuata wakati huu na sio wakati mwingine?
2. Je, mbona mwaka 1995 walinitusi sana nilipoamua kuhama CCM, hali kadhalika mwaka 2010?
3. Je, sio kwamba CCM maji ya shingo yamewafikia?
4. Je, kwa nini wananiahidi vyeo vikubwa na mapesa mengi wakati huu na sio wakati mwingine kama wao walitambua kwamba nilistahili kuyapata hayo miaka iliyopita?

TAHADHARI.

1. Kwa hatua hiyo ni kwamba CCM wanatambua kwamba wamepoteza mvuto kwa wananchi hivyo hatuna budi kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM.
2. Sina mpango wala sifikirii kukihama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chini ya mwavuli wa UKAWA.
3. Baada ya CCM kuyaona mafuriko ya ukawa sasa wamegundua kwamba kuelekea uzinduzi wa kampeni zao walitumie jina langu ili angalau wapate watu wengi kwa sababu wanaelewa fika kwamba wamepoteza mvuto (MSIDANGANYIKE).
4. Siwezi kuyasaliti matumaini ya watanzania kwa maslahi yangu binafsi.
5. Hilo ndio goli la mkono wanalolisubiri kwa miujiza (Yesu atakapokuja kwa mara ya pili).

MWISHO.

Nawatakia kila la kheri katika kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM, daima tusife moyo tupo pamoja na tutashinda kwa nguvu ya umma.

Wenu katika ukombozi,
Dr. Wilbrod Slaa,
KATIBU MKUU, CHADEMA.

Kamanda hii ndiyo kauli yenyewe thx.
 
Nasubiri yule wakutengeneza ARV feki wa Dar nae sijui atapokelewa kule maana sasa usanii umezidi japo nilikupenda ila sasa umenivunja moyo
 
  • Thanks
Reactions: nao
Duh, shape ya msindai ni noumaaaa. Napenda kujiunga na CCM.
 
dhu pass time stories za CCM utadhani chumba cha mataahira au milembe
 
CCM km waliinvest kwa mama wa kihaya Basi wajue Dr. kwa sasa anahitaji malizia honey moon na pengine tutakuwa na mdogo wetu very soon..Naamini baada ya CCM kufa Dr. atarudi gombea nafasi aliyoiachia muda huu.
 
CCM km waliinvest kwa mama wa kihaya Basi wajue Dr. kwa sasa anahitaji malizia honey moon na pengine tutakuwa na mdogo wetu very soon..Naamini baada ya CCM kufa Dr. atarudi gombea nafasi aliyoiachia muda huu.

Haha mkuu naona unaota ndoto. Dr Slaa hawezi kurudi huko kwenu tena. Ila tunachojua anasubiri uchaguzi uishe na awe salama na familia yake baada ya kumtishia. Akiibuka atakuwa na mengi ya kusema. We either ni delusional au a total fanatic, lakini Dr Slaa is out.
Na wale wote wenye akili kidogo wameshapotea .. yu wapi Halima Mdee? John Mnyika? Tundu Lissu? Wanewekwa pembeni au wamekaa pembeni? Mbona jana hawakuwepo kumpokea Sumaye?
 
kama Lowasa ameweza kuvivaa indirectly atashindwaje Msindai , hoja sio unanini kichwani bali unanini mfukoni
Zipo taarifa kwamba lowassa amependekeza nafasi ya Dr.Slaa kama katibu mkuu wa chadema ijazwe na aliyekua mwenyekiti wa ccm mkoa wa singida comrade Mgana Msindai (pichani).Kama taarifa hizi ni za kweli,unadhani mzee msindai anao uwezo wa kuvivaa viatu vya slaa na vikamtosha???kama hapana unadhani ni nani anaefaa kumrithi Dr.slaa ambae hakuna dalili zinazoashiria kama atarejea ofisini mapema.

m.jpg


MGANA MSINDAI
 
Haha mkuu naona unaota ndoto. Dr Slaa hawezi kurudi huko kwenu tena. Ila tunachojua anasubiri uchaguzi uishe na awe salama na familia yake baada ya kumtishia. Akiibuka atakuwa na mengi ya kusema. We either ni delusional au a total fanatic, lakini Dr Slaa is out. Na wale wote wenye akili kidogo wameshapotea .. yu wapi Halima Mdee? John Mnyika? Tundu Lissu? Wanewekwa pembeni au wamekaa pembeni? Mbona jana hawakuwepo kumpokea Sumaye?
HIvi nyie ndio wale ambao bado mnaamini Busha ni barka na busara kubwa eh?Sasa akitokezea baada ya uchaguzi atakuwa na madhara gani tena au faida gani kwa CCM?atakuja ifufua CCM?Damn ..akili za mgagaa na pwani hazitoshi...
 
kama Lowasa ameweza kuvivaa indirectly atashindwaje Msindai , hoja sio unanini kichwani bali unanini mfukoni
NIamini kipi kwamba Lowasa anaumwa sana au Lowasa ndie anaongoza indirectly..pengine kipimo ch akupima km mpo sawa nikuulize tuu km ..Unaamini nini Kuhusu Busha?
 
Mgoja kwanza tupate ushindi wa kuongoza wapo wengi ikiwa atashindwa mbona ccm wamebadilisha mara tatu kippindi miaka kumi, walianza na mangura, akaa makamba, sasa kinana
 
Hizi taarifa kama ni za kweli....hii itakuwa sio habari njema kwa upande wangu....kumpa nafasi ya Slaa bwana Mgana Msindai ni sawa na kumtusi kamanda Slaa...
slaa sio muungwana,kwanini hakubaliani na wenzake,siasa za slaa za kutaja wezi ,bila kueleza yeye atafanya nini zimepitwa na wakati.aondokee tu
 
Hizi taarifa si za uhakika Dr Slaa bado ni Katibu Mkuu wa Chadema atarudi ofisini muda si mrefu. Wacha Salum Mwalimu aendelee kukaimu, Dr Slaa anarudi Tunampenda na Tunamuhitaji.
 
CCM wanahhaha kama kuku wanaotaka kutaga... Jielezeni kwa Watanzania kuwa mmewafanyia nini so far Zaidi ya kuwatesa kwa maisha magumu katika ardhi yao iliyojaa neema lukuki za allah S.W.T

Kwani nyie mmefanyia nini ruzuku mpaka mnapinga kukaguliwa na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kama alivyopendekeza zitto kwamba vyama vya siasa vikaguliwe matumizi ya ruzuku??

wakati unafikiria jibu la kunipa,haya ndio serikali ya ccm iliyoyafanya licha ya ufinyu wa bajeti...


11888004_1154975861185527_37052011324532759_n.jpg


11903990_1154975884518858_312613745075934793_n.jpg


11895999_1154975927852187_7120137008567943280_n.jpg



11891209_1154976517852128_7381107603295432577_n.jpg


11892028_1154976911185422_108527645785380153_n.jpg


11935593_1154978031185310_1106006415753783643_n.jpg


11924777_1154984297851350_7757106748257976139_n.jpg


11733822_1154984324518014_3831135944617581396_n.jpg


11885235_1154984357851344_7105265009352499682_n.jpg


Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) phase 3. Finally done......mnyonge mnyongeni lakini jk haki yake mpeni,next will be .....


Students' Centre at University of Dar es Salaam....hii sasa ataitekeleza magufuli....michoro kila kitu tayari kama ifuatavyo...

11863438_1155001684516278_4658209252268275029_n.jpg


11885362_1155001694516277_5927527536207080635_n.jpg


11899983_1155001721182941_7758192613933738590_n.jpg



 
Back
Top Bottom