mabina
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 228
- 39
Mimi ninachojua viatu vya Dr Slaa anaweza akavaa mumeo
Na wewe unajiita the great thinkers?
Mimi ninachojua viatu vya Dr Slaa anaweza akavaa mumeo
Hizi taarifa kama ni za kweli....hii itakuwa sio habari njema kwa upande wangu....kumpa nafasi ya Slaa bwana Mgana Msindai ni sawa na kumtusi kamanda Slaa...
WAKO WAPI MAKADA WA CHADEMA HAWA MPAKA KINA MSINDAI WANATAMBA?
![]()
Ndugu kumtusi slaa mmesha mtusiHizi taarifa kama ni za kweli....hii itakuwa sio habari njema kwa upande wangu....kumpa nafasi ya Slaa bwana Mgana Msindai ni sawa na kumtusi kamanda Slaa...
Hizi taarifa kama ni za kweli....hii itakuwa sio habari njema kwa upande wangu....kumpa nafasi ya Slaa bwana Mgana Msindai ni sawa na kumtusi kamanda Slaa...
Bilioni 10 si mchezo.watampindua mpaka mbowe.WAKO WAPI MAKADA WA CHADEMA HAWA MPAKA KINA MSINDAI WANATAMBA?
![]()
toa maoni yako sasa,anafaa ama la?