Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa

Mgana Msindai vs Wilbroad Slaa

Hilo linawezekana sana. Mbona Esther Bulaya kapewa fursa kule Bunda licha ya malalamiko ya Chadema 'orijino' vs 'wakuja'? Kwa kifupi tu ni kwamba wamemthibitishia Wasira Tyson kuendelea na ubunge kiulaini.
 
Hiyo nafasi ni ya Mgombea Uraisi tena tutapambana apate nafasi mojawapo,ama ya Uenyekiti wa Chama au Ukatibu Mkuu weee ondoa pua ya Msindai kwanza hajachangia chochote kwenye chama walu Lowassa katupatia Bil 10 si haba.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Kwa siku kadhaa ndani ya mitandao ya kijamii wamachama wa chama cha mapinduzi (CCM) wamekuwa wakilitumia jina langu kwamba eti wamenishawishi kujiunga na chama chao na kuwa siku ya jumapili tarehe 23/08/2015 nitajiunga na chama chao, katika uzinduzi wa kampeni zao

WALIYOYAFANYA.

1. Ni kweli na dhahiri kwamba CCM wamenishawishi kwa fedha na vyeo ili nijiunge na chama chao.
2. Wamewatuma wazee wengi sana kuja kunishawishi akiwemo katibu mkuu wao, mkuu wa usalama wa taifa, wazee wa chama chao nk.

MASWALI YA KUJIULIZA.

1. Kwa nini CCM wananifuata wakati huu na sio wakati mwingine?
2. Je, mbona mwaka 1995 walinitusi sana nilipoamua kuhama CCM, hali kadhalika mwaka 2010?
3. Je, sio kwamba CCM maji ya shingo yamewafikia?
4. Je, kwa nini wananiahidi vyeo vikubwa na mapesa mengi wakati huu na sio wakati mwingine kama wao walitambua kwamba nilistahili kuyapata hayo miaka iliyopita?

TAHADHARI.

1. Kwa hatua hiyo ni kwamba CCM wanatambua kwamba wamepoteza mvuto kwa wananchi hivyo hatuna budi kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM.
2. Sina mpango wala sifikirii kukihama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chini ya mwavuli wa UKAWA.
3. Baada ya CCM kuyaona mafuriko ya ukawa sasa wamegundua kwamba kuelekea uzinduzi wa kampeni zao walitumie jina langu ili angalau wapate watu wengi kwa sababu wanaelewa fika kwamba wamepoteza mvuto (MSIDANGANYIKE).
4. Siwezi kuyasaliti matumaini ya watanzania kwa maslahi yangu binafsi.
5. Hilo ndio goli la mkono wanalolisubiri kwa miujiza (Yesu atakapokuja kwa mara ya pili).

MWISHO.

Nawatakia kila la kheri katika kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM, daima tusife moyo tupo pamoja na tutashinda kwa nguvu ya umma.

Wenu katika ukombozi,
Dr. Wilbrod Slaa,
KATIBU MKUU, CHADEMA.

Ila mbona haonekani, anakula good time na kayanza huyu na si ajabu wapo dubai
 
wanajamvi jana mzee warioba alionekana pale jangwani akitetea CCM MASWALI YA KUJIULIZA JE?
1.ccm hao ndo waliomtuma makonda akampiga warioba pale ubungo
2.mh rais alishabikia kitendo hicho alipokuwa mwanza anaongea na awatu wa anti corruption eti wazee wengine wanajitakia kupigwa wenyewe
3.mzee warioba alitukanwa kwenye bunge la katiba hata na wale wa darasa la saba B kwamba hafai amezeeka.
na mengine mengi sasa sijui jana alikuwa anakubaliana na hayo aliyofanyiwa NAOMBA TUJADILI
 
Kazi Ya Dr.Slaa Imetukuka,hata CCM Wanajua Hilo.Msindai Anakijua Chama?Acha Uzushi,apewe Hon.J Mnyika
ha ha ha.. itabidi mkubali tu kuwa chama kishanunuliwa. eti msindai hakijui chama.. na aliyepewa kugombea uraisi anakijua chama??..
 
Kwanza ingekuwa vizuri kupata reference ya maandishi haya. Je ni kweli? Yameandikwa wapi? Pili sidhani kama Mheshimiwa Lowassa anayo nafasi ya kutuchagulia kiongozi ye yote. He is new member of this party (CDM), we have given him a chance to win this election and lead the next government, so lets give him space to him deliver on this issue first. Tatu, tunao viongozi wengi na wanaofaa kabisa katika CDM , na si lazima tuchukue wote waliotoka CCM. Tukifanya hivyo basi itakuwa chama kimetushinda. Miaka hii yote tuliokuwa tunakijenga chama, hatuna watu? Nne, Dr Slaa yuko mapumzikoni, hajatuambia kuwa hatarudi. Tumpe nafasi apumzike kidogo.
 
Lakini slaa kasema wenyeviti kiduchu(watatu)wa ccm waliomfuata lowassa chadema ni mizigo!
 
Kwanza ingekuwa vizuri kupata reference ya maandishi haya. Je ni kweli? Yameandikwa wapi? Pili sidhani kama Mheshimiwa Lowassa anayo nafasi ya kutuchagulia kiongozi ye yote. He is new member of this party (CDM), we have given him a chance to win this election and lead the next government, so lets give him space to him deliver on this issue first. Tatu, tunao viongozi wengi na wanaofaa kabisa katika CDM , na si lazima tuchukue wote waliotoka CCM. Tukifanya hivyo basi itakuwa chama kimetushinda. Miaka hii yote tuliokuwa tunakijenga chama, hatuna watu? Nne, Dr Slaa yuko mapumzikoni, hajatuambia kuwa hatarudi. Tumpe nafasi apumzike kidogo.

Dr.slaa harudi tena,muanze kujiandaa kisaikolojia kujaza nafasi yake
 
Haiwezikani wapo mnyika,salum mwalim na wengine kibao wanaijua cdm
Nimekushangaa sana pale ambapo umesema uliwaonya ukawa kuhusu siasa za ukanda nawewe ukaendakujiunga hukohuko.Ningeona ni heri ungekaa kimya kwasababu husimamii kile ambacho unaamini.NILISOMOMA KWENYE MTANDAO WA JF KABLA YA WEWE KUTANGAZA RASMI KUHAMIA UKUWA JUU YA MAZUNGUMZO BAINA YAKO WACHUNGAJI NA MFANYIBIASHARA BW MINJA WA ARUSHA.Hivi ni wewe Fredric Tulway Sumaye ambaye ulikua unamuita El fisadi usiku na mchana. Niwewe ambae ulisema eEl akichaguliwa kua mgombea wa ccm utatoka ccm? Je umeenda ukawa kwasababu ya uluteri.? Sitaki kuamini niliosoma humu mtandaoni kua Bw Minja atamaliza shida zako za kifedha.Utamlipa nini bwanahuyo atakpokufadhili kiasi hicho.?Je ni TAMAA ya madaraka kama afya ya el ikidorora.?Ni kweliuliogopa kujiunga na chadema hadhani ukadanganya kwamba unajiunga na nccr lakini ukachukua kadi ya chadema baadae? AMAKELI PENYEUDHIA PENYEZA RUPIA.NAKUTAKIA KILA LA KHERI HUKO ULIKO UZURIWAKO HUWEZI KUWASHA WALA KUZIMA.KIBOKO YAKO MERYNAGU TUNAE. WALA PENGO LA SLAA HUNA UWEZO WA KULIZIBA.HATA MKICHANGANYWA WOTE.

Namtalia sana Mwaka huu akuna wa kuwaonea huruma! Wa Tz wana revange mateso walio yapata kwa zaidi ya miaka 50 tunawatesa kwa miezi mitatu tu na adabu mtaipatu
 
Ina maana ndani ya ukawa hamna anayefaa kuwa kiongozi
 
Back
Top Bottom