Mgambo kusaidia Mtuhumiwa kutoroka lock up

Palyang'ei

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
288
184
Wanasheria naombeni msaada je mgambo aliyepewa kulinda mtuhumiwa lock up na baadaye mkute hakuna mtuhumiwa na hakujavunjwa na funguo zote anazo,.Mgambo huyo akipelekwa mahakamani anastahili adhabu gani kwa mujibu wa sheria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom