Mgahawa

Mgahawa

Bei naona kubwa sana, unge shortlist vitu vilivyomo watu tupige tathmn mkuu?
 
Kwa hiyo bei itakua imevuka mgahawa labda ni hotel, shortlist yaliyomo ingeleta urahs wa tathmn kabla ya kufika
 
Bei naona kubwa sana, unge shortlist vitu vilivyomo watu tupige tathmn mkuu?
Mara nyingi hua kwenye mgahawa cha muhimu sana sio thamani ya vyombo. Cha muhimu ni location ya biashara, mandhali, na mauzo. Kwa mfano, kuna mgahawa upo kariakoo mtaa wa kipata na Rivington umenunuliwa kwa mil. 72. WAFANYABISHA HAPO NAAMINI WANANIELEWA.
 
Back
Top Bottom