Biashara ya chakula

Nahitaji wadada wawili kwa ajili ya kuhudumia kwenye mgahawa na kusaidia kazi ndogo ndogo
Awe ana uzoefu na biashara ya mgahawa anaweza kuserve ,usafi
Akiwa anakaa mkoa wa pwani kibaha ts advantages sio lazima kwa maelezo zaidi wasiliana na 0747848885 kwa maongezi zaidi
Mshahara bei gani..? Tangazo limekaa nusu nusu
 
Nahitaji wadada wawili kwa ajili ya kuhudumia kwenye mgahawa na kusaidia kazi ndogo ndogo
Awe ana uzoefu na biashara ya mgahawa anaweza kuserve ,usafi
Akiwa anakaa mkoa wa pwani kibaha ts advantages sio lazima kwa maelezo zaidi wasiliana na 0747848885 kwa maongezi zaidi
umetisha sana munally14
uungwana ni vitendo,
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom