Mmmh!Huyu Dogo angepata wanasheria wazuri angeachiliwa mapema.
Usikute kajinyonga baada ya kuona kila mtu anamhukumu bila kumsikiliza
Kwa iyo aliona fursa kwenye ugaidi au kanajisi uchaga?Hawa ni wachagga waliohamia upareni. Fursa ndo imewapeleka kule. Ukoo wa Temba hawa. Origin old moshi.
Kisa chake huyu dogo ni cha ki bwege Sana...alishawishiwa akaacha shule na kujiunga na Al shababu akiwa mdogo Sana alikuwa kama form 2...SASA akapelekwa uko Somalia siku ya tukio la garisa alipangwa alipue Bomu.......maana alitakiwa KUJITOA mhanga dogo kashafika eneo la tukio akaogopa kujilipua kitete kikamshika......akapanda kwenye Dali kimyaaaa......walipokuja polisi kuokoa wakacheki kwenye Dali wakawatoa wengine pamoja na yeye kuhojiwa kama wapo salama dogo akaongea Kiswahili cha bongo hapo ndio balaa lilipoanzia.........walitaka kujua kaletwa na Nani au kaja kufata nini na uku sio kwao??maana hata pasi hakuwa nayo......ndio ikawa basi tena...lakin huyu ajajinyonga hapo nakataa huyu atakuwa kauliwa.....maana walikamatwa kama WA 5 hivi wengine waliachiwa......wengine kifo pqmoja na huyu......mpaka mwisho WA maisha yakeHuyu Dogo angepata wanasheria wazuri angeachiliwa mapema.
Usikute kajinyonga baada ya kuona kila mtu anamhukumu bila kumsikiliza
Very sad storyKisa chake huyu dogo ni cha ki bwege Sana...alishawishiwa akaacha shule na kujiunga na Al shababu akiwa mdogo Sana alikuwa kama form 2...SASA akapelekwa uko Somalia siku ya tukio la garisa alipangwa alipue Bomu.......maana alitakiwa KUJITOA mhanga dogo kashafika eneo la tukio akaogopa kujilipua kitete kikamshika......akapanda kwenye Dali kimyaaaa......walipokuja polisi kuokoa wakacheki kwenye Dali wakawatoa wengine pamoja na yeye kuhojiwa kama wapo salama dogo akaongea Kiswahili cha bongo hapo ndio balaa lilipoanzia.........walitaka kujua kaletwa na Nani au kaja kufata nini na uku sio kwao??maana hata pasi hakuwa nayo......ndio ikawa basi tena...lakin huyu ajajinyonga hapo nakataa huyu atakuwa kauliwa.....maana walikamatwa kama WA 5 hivi wengine waliachiwa......wengine kifo pqmoja na huyu......mpaka mwisho WA maisha yake
Hivi Waafrika huwajui kwa kubambikia?Kama ushahidi hakuna mbona alihukumiwa kifungo cha maisha?
Ivi unafkir mahakama ni wapumbavu wamuhukumu mtu kifungo cha maisha kwa kosa la ugaidi Bila kupata ushahidi usio na Shaka..?Jamaa alitoroka shulen kwao akamfata Demu wake kwenye hicho chuo likapigwa tukio na yeye akashikwa kwnye eneo la tukio wakamuunganisha kwenye hiyo kes hakua gaid chalii hajui hata kupakia risas kwenye magazine
Ohh OK kama ni mwanafunzi wa secondary
Alikuwa below 21 I believe
Ni kesi ya kuwa brainwashed Tu ..
Sidhani kama alikuwa real terrorist
Halafu kama alitoka Dodoma
Why waseme yeye ndo kawapeleka hao
Wasomali chuoni hapo??
Hao wasomali si wakenya??
Jamaa alitoroka shulen kwao akamfata Demu wake kwenye hicho chuo likapigwa tukio na yeye akashikwa kwnye eneo la tukio wakamuunganisha kwenye hiyo kes hakua gaid chalii hajui hata kupakia risas kwenye magazine
Wapi .....hukumu ya kunyongwa ilikuwa kwake peke yake wale wenzake walifungwa kifungo cha maisha Tu ..........na mmoja aliachiwa walisema Hana hatia yeyoteamekata tamaa mapema sana, bado alikuwa ana nafasi ya kutoka gerezani
Mambo sio rahisi hivo Boss, ni hiviAngepata mwanasheria mzuri kabla ya kuhukumiwa
Au wa kukata rufaa
Naona unajikoroga kwa kweliOhh OK kama ni mwanafunzi wa secondary
Alikuwa below 21 I believe
Ni kesi ya kuwa brainwashed Tu ..
Sidhani kama alikuwa real terrorist
Halafu kama alitoka Dodoma
Why waseme yeye ndo kawapeleka hao
Wasomali chuoni hapo??
Hao wasomali si wakenya??
A Terrorist is a terrorist whether Real or Fake, he is already a terroristOhh OK kama ni mwanafunzi wa secondary
Alikuwa below 21 I believe
Ni kesi ya kuwa brainwashed Tu ..
Sidhani kama alikuwa real terrorist
Halafu kama alitoka Dodoma
Why waseme yeye ndo kawapeleka hao
Wasomali chuoni hapo??
Hao wasomali si wakenya??
Really?Si alikuwa mwanafunzi hapo chuoni
Ni kweli kabisa, ili umuhukumu mtuhumiwa, lazima uwe na ushahidi Wa kutosha kuweza kumtia mtu hatianiIvi unafkir mahakama ni wapumbavu wamuhukumu mtu kifungo cha maisha kwa kosa la ugaidi Bila kupata ushahidi usio na Shaka..?
Jamaa anajitahidi kugeuza black kuwa white.Naona unajikoroga kwa kweli
Kula ni haki ya. Msingi ya binadamu yoyote yule,Kama gaidi kweli, wamemchelewesha sana.
Kawaida sipendelei adhabu ya kifo.
Ila hawa wauaji wanaoua watu kwa mafungu wangekuwa wanawaua tu badala ya kuwafunga jela wanakula bure pesa ya walipa kodi.