Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,432
- 7,092
Mmmh!Huyu Dogo angepata wanasheria wazuri angeachiliwa mapema.
Usikute kajinyonga baada ya kuona kila mtu anamhukumu bila kumsikiliza
Inawezekana ni hivyo ila hata majuto pia yanaweza kufanya ujinyonge!