Mfung'wa Mwanamme (drag queen) atumikia kifungo miaka mitatu kwenye jela ya wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfung'wa Mwanamme (drag queen) atumikia kifungo miaka mitatu kwenye jela ya wanawake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MsemajiUkweli, Sep 16, 2012.

 1. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,137
  Trophy Points: 280
  UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA YA FILAUNI.

  Habari zingine kama hii zinawatia watu wasiwasi na kile kinachoendelea ndani ya dunia yetu hii. wengine wanadiriki kusema, hizi ni dalili za mwisho wa dunia, wengine wanakanusha na wanasema, haya ndiyo matokeo ya maendeleo yanayorutubiswa na misingi ya kuwa huru katika fikra na mawazo na kuwa na maamuzi pekee katika maisha. Mimi nasema yangu ni macho na ukishangaa kwa hili basi ujihesabu bado uko kwenye dunia ya Mtemi Mkwawa.

  Hebu pata hii habari na utafakari kutoka nchi 'zilizoendelea'.

  "A man who dresses as a woman said the city of Nashville and the company that operates one of its prisons should pay him millions for putting him behind bars for three years with women. Karla Brenner said once the female prisoners found out he had male anatomy, it became a living hell. "The big hair, the makeup - I am an entertainer, a drag queen. That basically means a man who enjoys dressing as a woman. It's not a woman. I have no intention on being a woman - never, ever have," Brenner said. But when Brenner was convicted of felony theft for stealing a python purse in Green Hills, an already complicated life got more complicated. Brenner said he was told to say nothing, to pretend he was a woman and go to the women's prison. Officials said Brenner even checked a box that said he was a woman."

  [video=youtube_share;pZYeknPUKGw]http://youtu.be/pZYeknPUKGw[/video]

  Habari kwa hisani ya 4 News
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  mmh. Sijaelewa.
   
 3. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,137
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Soma hiyo habari vizuri itaufungua ubongo
   
 4. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  vipi mwenzetu tatizo ni kidhungu hapo au?
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Duh kwa hiyo aluwa anawahudumia wanawake wafungwa wote gerezani.....!!!
  Kafaudu......!!
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Tembea ujionee!
   
 7. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,652
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  She is very woman to pass for a Man ,let her dance to her own doing. ha haaa analalamika bure tu kwanza atakuwa kafaidi sana kufungiwa na hao viumbe kwa miaka yote mitatu anajisevia tu.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Analalama badala ya kutusimulia alivyowafaidi hao wafungwa wa kike....??....:evil::evil::evil:
   
 9. H

  Helios JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  labda alitaka afungwe na wanaume wamle tigo. google prison sex and rape
   
Loading...