Mfungwa kunyolewa nywele.

Kwa magereza ya Tanzania, hii ni hatua ya kwanza baada ya kufika tuu gerezani, zile nduo zote ulizovaa, unavua, zinawekwa kwenye mfuko maalum, unanyolewa, unapewa sare za jela, unapigwa zile picha 3 za passport, ndipo unaingizwa selo. Hivyo Lissu atakuwa alinyolewa ile ile Ijumaa usiku, waliokwenda kumtembelea kesho yake hawakumkuta tena na rasta!.

P
 
Hizo passport size wanawapiga wafungwa kwa malengo yapi?
 
Sasa tumwambie na Boni Yai sasa anyoe manywele yake role model wake kasha nyolewa kwa Mujibu wa Sheria za magereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…