Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,833
- 2,790
Kwani ana mpango wa kukata rufaa?Ninahisi huyu mfungwa alitenda kosa zaidi ya moja halafu adhabu zake hazikufuatana k.m. kama alibaka na kuiba kwa kutumia nguvu na adhabu ikawa kutumikia kifungo kwa kila kosa peke yake ndio maana anaozea jela. nadhani wakati wa kukata rufaa tutafuatilia zaidi.