Mfungo umeanza...!!!!

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,587
4,418
Karibuni sana mida ya jioni wadau tufuturu......


391337_362412037163638_1718902360_n.jpg

 
msimkwaze Mzizimkavu jamani....mie nitakuja ila msimuambie my husband MziziMkavu..lol:sleepy:


Neema halikuwa lengo langu kumkwaza mumeo,ila kama itatokea hivyo nina imani atakusikiliza utakaponiombea msamaha,ila wewe karibu tu tuendelee hubby wako sitamuambia kama tulikuwa wote.....
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom