Tunapokaribia kufanya Misa za October 29, 2026, napendekeza kwamba, siku moja kabla ya tarehe hiyo, kila mtu afanye mfungo Mtakatifu, yaani asile wala kunywa chochote, asifanye starehe yoyote ikiwa ni pamoja na kujizuia kabisa kula chapati ya usiku. Mfungo uambatane na kutubu dhambi zetu. Siku hiyo ya tukio, mfungo uendelee pamoja na maombi makuu 3.
1. Omba Mungu awasamehe dhambi zao waliotangulia mbele za haki.
2. Omba Mungu awavike utu upya wote waliosababisha haya kutokea na wakiri kwa yaliyotokea.
3. Omba Mungu awanyeshee Watanzania wote UMANDE wa KUJITAMBUA, UJASIRI, UTHUBUTU na MAARIFA ya kutoruhusu tena mambo haya kutokea