Nasian Ressy
Member
- Jul 12, 2026
- 85
- 237
Huku jaman kuna wachumba warembo mno kwanza hii mida ya jioni ndiyo wanaingia sasa mtaa.tatiz kihindi kinanipiga chenga ila uzur english np full
Naskia kwenye mkutano kule day wewe ndo ulikua mwenyekit kamati ya maandaliziKila la heri mkuu, huku kuna uhaba wa mademu hadi watu wanampulia kisogoni huyu ***** Ibilisi Mjalaana.
Kaa hapa 🖕 *****. Huna hadhi ya kujibazana nami rijali.Naskia kwenye mkutano kule day wewe ndo ulikua mwenyekit kamati ya maandalizi