Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,459
Utawala huu ndio unaotakiwa,maana katika katiba tunaambiwa kuwa nchi yetu haina dini........na Rais wa awamu ya pili alishawahi kutuambia Ruksaaaaaaa,anayetaka kula chura ruksaaaa,anayetaka kula...........................Ruksaaaaaaaaaaaaaa.....
Naam ..... Naaam mwisho wa siku kama hamnielewi basi LIWALO NA LIWE.