MFUMUKO WA BEi

MFUMUKO WA BEi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1526259_470497346390318_1491352212_n.jpg
 
Mkulu kwenye salaam za mwaka mpya alisema mfumuko wa bei umeshuka kufikia 6.2% na tayari makampuni yanayopandisha mishahara kwa kutegemea mfumuko wa bei wameishaanza kuwaongeza wafanyakazi mishahara kwa kiwango hicho,sasa mbona hii picha inapingana na maelezo ya mkulu wa kaya?
 
Mfumuko upi mnaozungumzia wakati mwaka jana ulikuwa kwenye double digit na sasa umeteremka kwa kishindo mpaka kufikia5.6% kwa Mwezi wa December 2013.
 
Mkulu kwenye salaam za mwaka mpya alisema mfumuko wa bei umeshuka kufikia 6.2% na tayari makampuni yanayopandisha mishahara kwa kutegemea mfumuko wa bei wameishaanza kuwaongeza wafanyakazi mishahara kwa kiwango hicho,sasa mbona hii picha inapingana na maelezo ya mkulu wa kaya?

Huy mkuu wa kaya anaongelea masuala ya kwenye makaratasi tu lakini reality hakuna kushuka kwa mfuko wal nini, kama mfumuko umeshuka we unahisi ni bidhaa gani angalau imeshuka kwa kiasi kadhaa!?
 
takwimu za mkuu zinatokana na uchumi mkubwa ambao hautoi picha ya maisha ya mwananchi mmoja mmoja
 
Niwaombe wataalamu wa uchumi waje watujuze,nini maana ya uchumi kukua,nani ananufaika na uchumi kukua?
Mimi nisiyejua mambo ya kitaalam kuhusu uchumi naweza kusema afadhari uchumi wa nchi usikue ili
maisha ya raia wa kawaida yawe mazuri,kama tulivyokuwa zamani.
 
Huy mkuu wa kaya anaongelea masuala ya kwenye makaratasi tu lakini reality hakuna kushuka kwa mfuko wal nini, kama mfumuko umeshuka we unahisi ni bidhaa gani angalau imeshuka kwa kiasi kadhaa!?
Mkuu nakuelewa na hakuna bidhaa hata moja iliyoshuka bali zinapanda,ila nauliza hayo makaratasi nani anamwandalia?Alisoma chuo kipi? Je ni kweli nchi zote duniani zenye uchumi mzuri maisha ni magumu kama hapa kwetu bongo?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaah, ashawahi kuulizwa mbona kuwa kwa nini nchi yako ni masikini, akajibu hata yeye hajui, sasa hapo mkuu kuna nini ten!?
 
Back
Top Bottom