Mfumuko wa bei: Vifaa vya ujenzi na vyakula vyapaa

Pia hata huku maeneo ya Changanyikeni nyuma ya Udsm(Dar area)bei ya nyama haikamatiki, imepanda kutoka 6000 last week mpaka 8000 jana. Mhe rais ingilia kati mfumko wa bei ya vyakula.
 
Inaonekana umeanza kununua nyama karibuni,bei ilipanda tangu kampeni zilipoanza.Na kuna kipindi nyama ilikuwa hata kupatikana ilikuwa adimu
 
Mh. Rais Magufuli aliahidi Cement na vifaa vya Ujenzi vitashuka bei.

Kwenye Stronghold za CCM kama Dodoma, Morogoro, Iringa, Singida, na Tanga pembezoni Nyumba ni za Udongo..Tembe na hazina Bati...Nyasi au tope..... Sasa huu ni mtihani kwa Mh. Magufuli..please take action.

Kuna tetesi zimesambaa sana Tanzania nzima kuwa DANGOTA Alitaka kuuza Cement kwa 8500 Tshs kwa mfuko...ETI CCM Wakakataa. Mh... Rais, look at this.

Mh. Rais, usipofanyia kazi haya mambo, ujue wapiga kura wako DODOMA, Singida, Morogoro umewaonea sana....

Kwa nini Cementi Ktoka Kenya ni bei rahisi kutoka Tanzania?

Kwa nini Cementi ya Pakistani ni rahisi kuliko ya Tanzania?
Hiyo hiyo ya Dongote Nchi ya Zambia inauzwa 50kwacha ambapo ukija kwenye shilingi ni sawa na 9000/=

Tumwombe Magufuli alisimamie hili swala!
 
Umenikumbusha nimeenda ng'ambo, siku moja nikatoa note ya EURO 500 kununua Bidhaa kwenye Mall moja; wee...! acha muuzaji ahangake....piga simu mpaka manager mauzo akaja mwenyewe na sefu...eti kuninurudishia change Euro 275...! Kule cent moja inafanya kazi.

Hahhahahah!
 
labda wamemwona Anna Tibaijuka akipita sokoni na hela ya mbogamboga wakapandisha bei
 
Dar nyama kilo Tsh.8,000/ mchanganyiko, steki ni 10,000 na maini vile vile
 
Mh. Rais Magufuli aliahidi Cement na vifaa vya Ujenzi vitashuka bei.

Kwenye Stronghold za CCM kama Dodoma, Morogoro, Iringa, Singida, na Tanga pembezoni Nyumba ni za Udongo..Tembe na hazina Bati...Nyasi au tope..... Sasa huu ni mtihani kwa Mh. Magufuli..please take action.

Kuna tetesi zimesambaa sana Tanzania nzima kuwa DANGOTA Alitaka kuuza Cement kwa 8500 Tshs kwa mfuko...ETI CCM Wakakataa. Mh... Rais, look at this.

Mh. Rais, usipofanyia kazi haya mambo, ujue wapiga kura wako DODOMA, Singida, Morogoro umewaonea sana....

Kwa nini Cementi Ktoka Kenya ni bei rahisi kutoka Tanzania?

Kwa nini Cementi ya Pakistani ni rahisi kuliko ya Tanzania?

Cement bei kubwa sababu ya gharama za uzalishaji, kodi kubwa, hakuna tax holiday kwa local investors unaanza kiwanda unalipa kodi...
 
Sawa, na ndio maana amesema Magufuli atupie jicho huko. Hajasema Magufuli ndiye amesababisha. Unamaanisha hayo yote tunayoona anafanya leo kama njia ya kuondoa matumizi mabaya ya fedha yeye ndiye alisababisha?
Hivi una uhakika gani kuwa bei ya vyakula na vifaa vya ujenzi zimepaa maradufu baada ya kuanza kwa awamu ya tano? Mtoa Mada anataka kutuonyesha kuwa kila kitu kilikuwa bei chini kabla ya awamu ya 5 wakati siyo kweli!
 
Mkuu hata ongezeko la 500 katka 13000 ni maradufu?

Hata Mimi nimeshangaa! Nimefungua Haraka Haraka nikitegemea kukuta mfuko wa saruji Dar 19000, Kibaha 26,000/ Shinyanga 34,000/=. kumbe 500/=? Petro hebu tuache utani bwana!!
 
Cement bei kubwa sababu ya gharama za uzalishaji, kodi kubwa, hakuna tax holiday kwa local investors unaanza kiwanda unalipa kodi...

Uongo wa mchana kweupe! Kiwanda gani cha cement ambacho ni cha local investors?
 
Hivi una uhakika gani kuwa bei ya vyakula na vifaa vya ujenzi zimepaa maradufu baada ya kuanza kwa awamu ya tano? Mtoa Mada anataka kutuonyesha kuwa kila kitu kilikuwa bei chini kabla ya awamu ya 5 wakati siyo kweli!
Comparatively, Yes.
 
Ni kweli tanzania kuna mfumuko wa bidhaa sana na inaumiza sana kiukweli??
 
Cement bei kubwa sababu ya gharama za uzalishaji, kodi kubwa, hakuna tax holiday kwa local investors unaanza kiwanda unalipa kodi...

Yes, hapa Serikali ipunguze kodi kwenye cementi ili Watanzania wajenge nyumba bora..... Serikali ikusanye kodi kwenye Tanzanite gem, Gold, Almasi na Tourism
 
Hiyo hiyo ya Dongote Nchi ya Zambia inauzwa 50kwacha ambapo ukija kwenye shilingi ni sawa na 9000/=

Tumwombe Magufuli alisimamie hili swala!

Kweli IDAWA, kama zambia inauzwa bei rahisi, why Tanzania so expensive... Watanzania watafurahi sana Mh. Magufuli akitia mkazo hapa
 
Nyumba za Tembe hazitaondoka kwenye Kambi za CCM

Dodoma kwa akina Kibajaji, Morogoro kwa Godfrey, Iringa, Morogoro, Shinyanga etc

Cementi expensive why, Mali ghafi nyingi ipo Tanzania

Mabati ya Kenya is much cheaper Than Tanzania

Kenya watu wengine wanafanya Kuta za bati....because most affordable
 
Back
Top Bottom