Bei za vifaa vya ujenzi na vyakula zimepaa maradufu mara baada ya kuanza kwa awamu ya tano. Mfano,wilayani Kibaha mfuko wa saruji unauzwa kwa 13500 kutoka 13000 ya mwanzo. Bei pia imeongezeka kwa bati na hata mbao.
Bei za nyama zimepaa huko Zanzibar na hata mkoani Mtwara. Huko Mtwara,kilo ya nyama inauzwa 8000 badala ya 6000. Huko Zanzibar,kilo ya nyama imefika kati ya 10000 na 15000.
Na mfumuko wa bei utupiwe jicho. Kimsingi,bei za bidhaa ndizo zinazogusa maisha ya siku hadi siku ya wananchi wa kawaida.
Magufuli afanye mbwembwe zote anazozijua ila sie tunasubiri viwanda na milioni 55 kila kijiji
Ngoja tumsikilizie!
Unafikiri haya yanawezekana bila ya hayo anayoyafanya sasa? Hakuna mahusiano? Acha Magufuli apige mzigo, tusijifanye tunajua kuliko rais.
Katiba mpya ya wananchi...
mtoa mada nakuunga mkono.duniani hakuna watu wajinga kama watanzania .wameridhika na viongozi wasanii.jpm ni msanii zaidi ya jk
mtoa mada nakuunga mkono.duniani hakuna watu wajinga kama watanzania .wameridhika na viongozi wasanii.jpm ni msanii zaidi ya jk
mtoa mada nakuunga mkono.duniani hakuna watu wajinga kama watanzania .wameridhika na viongozi wasanii.jpm ni msanii zaidi ya jk
Kwa kweli huyu JPJM anatakiwa kutulia na kuweka misingi ya utendaji wa kidemocrasia zaidi; asionekane kuongoza kwa kutoa maagizo yeye badala ya mawaziri. Hakuna haraka; kinachotakiwa ni kufanya kazi systematically. kwa hii style yake anset standards ambazo inaweza kuwa ngumu kufikiwa na mawaziri wake na pia inaweza kusababisha ukiukwaji wa kanuni. Lipumba alishauri vizuri: bana matumizi weka misingi imara. hatimaye sarafu iimarike na mfumuko wa bei udhibitiwe.
magufuli kamua baba.tuna hamu ya kukamuliwa majipu
Umenikumbusha nimeenda ng'ambo, siku moja nikatoa note ya EURO 500 kununua Bidhaa kwenye Mall moja; wee...! acha muuzaji ahangake....piga simu mpaka manager mauzo akaja mwenyewe na sefu...eti kuninurudishia change Euro 275...! Kule cent moja inafanya kazi.
2. Imarisha sarafu. Ukiwa na sh. 1,000,000 leo hii unajiona kama mwenye sh 100,000 tu. Wakati Kenya sh 1,000,000 ni hela nyingi sana. Hii inatufanya kufanya kazi kubwa na kupewa hela nyingi lakini hazionekani kuwa na nguvu kiuchumi.
...
Hiyo ndiyo Tanzania ya Maghufuri kama Kikwete