kadumaster08
Member
- May 30, 2013
- 78
- 15
Pia hata huku maeneo ya Changanyikeni nyuma ya Udsm(Dar area)bei ya nyama haikamatiki, imepanda kutoka 6000 last week mpaka 8000 jana. Mhe rais ingilia kati mfumko wa bei ya vyakula.
Pia hata huku maeneo ya Changanyikeni nyuma ya Udsm(Dar area)bei ya nyama haikamatiki, imepanda kutoka 6000 last week mpaka 8000 jana. Mhe rais ingilia kati mfumko wa bei ya vyakula.
Hiyo hiyo ya Dongote Nchi ya Zambia inauzwa 50kwacha ambapo ukija kwenye shilingi ni sawa na 9000/=Mh. Rais Magufuli aliahidi Cement na vifaa vya Ujenzi vitashuka bei.
Kwenye Stronghold za CCM kama Dodoma, Morogoro, Iringa, Singida, na Tanga pembezoni Nyumba ni za Udongo..Tembe na hazina Bati...Nyasi au tope..... Sasa huu ni mtihani kwa Mh. Magufuli..please take action.
Kuna tetesi zimesambaa sana Tanzania nzima kuwa DANGOTA Alitaka kuuza Cement kwa 8500 Tshs kwa mfuko...ETI CCM Wakakataa. Mh... Rais, look at this.
Mh. Rais, usipofanyia kazi haya mambo, ujue wapiga kura wako DODOMA, Singida, Morogoro umewaonea sana....
Kwa nini Cementi Ktoka Kenya ni bei rahisi kutoka Tanzania?
Kwa nini Cementi ya Pakistani ni rahisi kuliko ya Tanzania?
Umenikumbusha nimeenda ng'ambo, siku moja nikatoa note ya EURO 500 kununua Bidhaa kwenye Mall moja; wee...! acha muuzaji ahangake....piga simu mpaka manager mauzo akaja mwenyewe na sefu...eti kuninurudishia change Euro 275...! Kule cent moja inafanya kazi.
Inaonekana umeanza kununua nyama karibuni,bei ilipanda tangu kampeni zilipoanza.Na kuna kipindi nyama ilikuwa hata kupatikana ilikuwa adimu
Naishi Changanyikeni na huwa nanunua nyama kila wiki na kuna bucha mbili tu bei ilipanda kipindi cha kampeni.TuambieSio kweli
Mh. Rais Magufuli aliahidi Cement na vifaa vya Ujenzi vitashuka bei.
Kwenye Stronghold za CCM kama Dodoma, Morogoro, Iringa, Singida, na Tanga pembezoni Nyumba ni za Udongo..Tembe na hazina Bati...Nyasi au tope..... Sasa huu ni mtihani kwa Mh. Magufuli..please take action.
Kuna tetesi zimesambaa sana Tanzania nzima kuwa DANGOTA Alitaka kuuza Cement kwa 8500 Tshs kwa mfuko...ETI CCM Wakakataa. Mh... Rais, look at this.
Mh. Rais, usipofanyia kazi haya mambo, ujue wapiga kura wako DODOMA, Singida, Morogoro umewaonea sana....
Kwa nini Cementi Ktoka Kenya ni bei rahisi kutoka Tanzania?
Kwa nini Cementi ya Pakistani ni rahisi kuliko ya Tanzania?
Hivi una uhakika gani kuwa bei ya vyakula na vifaa vya ujenzi zimepaa maradufu baada ya kuanza kwa awamu ya tano? Mtoa Mada anataka kutuonyesha kuwa kila kitu kilikuwa bei chini kabla ya awamu ya 5 wakati siyo kweli!Sawa, na ndio maana amesema Magufuli atupie jicho huko. Hajasema Magufuli ndiye amesababisha. Unamaanisha hayo yote tunayoona anafanya leo kama njia ya kuondoa matumizi mabaya ya fedha yeye ndiye alisababisha?
Hakutaja muda wa upunguzaji huo! Tumpe muda atatimiza ahadi yake.Kwenye kampeni alisema atapunguza bei ya vifaa vya ujenzi!
Mkuu hata ongezeko la 500 katka 13000 ni maradufu?
Cement bei kubwa sababu ya gharama za uzalishaji, kodi kubwa, hakuna tax holiday kwa local investors unaanza kiwanda unalipa kodi...
Comparatively, Yes.Hivi una uhakika gani kuwa bei ya vyakula na vifaa vya ujenzi zimepaa maradufu baada ya kuanza kwa awamu ya tano? Mtoa Mada anataka kutuonyesha kuwa kila kitu kilikuwa bei chini kabla ya awamu ya 5 wakati siyo kweli!
Cement bei kubwa sababu ya gharama za uzalishaji, kodi kubwa, hakuna tax holiday kwa local investors unaanza kiwanda unalipa kodi...
Hiyo hiyo ya Dongote Nchi ya Zambia inauzwa 50kwacha ambapo ukija kwenye shilingi ni sawa na 9000/=
Tumwombe Magufuli alisimamie hili swala!