Mfumuko wa bei huku mtaani unashamiri, kuna nini kinaendelea?

Magufuli alidhibiti mazao na mifugo visiuzwe nje ya nchi kwa kufunga mipaka maana mazao yangeadimika, fikiria maisha yangekuwaje?

Japokuwa mkulima alikuwa hanufaiki lakini faida ni kubwa kuliko hasara, maana mahindi mchele mifugo n.k walahi tungetafutana
Kama hujui kitu ni bora ukakaa kimya kwa taarifa yako toka 2016 hakuna mpaka uliofungwa eti mazao yaziuzwe nje, kipindi cha jk sawa.Wala tatizo sio kuruhusu /kuzuia mazao yasiuzwe nje, mbona bei ya mchele na mahindi bado ziko chini sana?mafuta ya kula na bidhaa nyingi tu zimepanda bei ndio ujue kuna tatizo sehemu, unaweza kukimbilia kutaka kukusanya kodi kwa wingi huku unaumiza wananchi, na ndicho kinachotokea sasa!!
 
Hayo ndo madhara ya rais kufariki akiwa madarakani, nchi inakosa uthibiti kabisa.......tunaposema mchakato wa katiba mpya uanze ni pamoja a kuweka sawa mambo kama haya ya succession plan. Haiingii akilini mtu ambaye hachaguliwa kwa kura kwenye nafasi kubwa kama ya rais asimikwe kwenye nafasi hiyo kwa miaka zaidi ya minne. Kwa uelewa wangu madaraka ya rais hayawezi kukaimiwa kwa zadi ya miezi sita kabla ya kufanya uchaguzi upya.....
Na ndio maana sasa , mtu anakuwa kama hajiamini vile, muda mwingi ni kutafuta huruma tu kwa kutumia JINSI, yake!!!
 
Inflation humgusa kila mtu hata mtumishi
Hata deflation humgusa kila mtu.

Usililie deflation ni mbaya sana ndugu yangu, ni ujamaa ule wa kuleta umaskini. Unatakiwa kuchakarika kuikimbiza thamani ya pesa, ongeza uzalishaji wako.

Sikia mtaani pesa ikiwa nyingiiii hakuna bidhaa hiyo ni inflation mbaya sana. Hivyo hivyo kukiwa na bidhaa kila sehemu ila pesa hakuna ni mbaya sana. Pengine mbaya zaidi.

Inatakiwa inflation inavyoongezeka raia wachakarike na uzalishaji ili iwe sawa na uzalishaji na thamani ya pesa nje ya nchi ipande huku serikali ikihakikisha money supply haizidi uzalishaji. Mnakutana kwenye equlibrium.

Mfano , dola moja ss kwetu ni elfu mbili na ushee, ila parachichi unalonunua hapa mia tano marekani atalinunua dola mpaka mia almost laki mbili na ushee. Hiyo ni inflation kwao lakini isiyo na madhara kwenye uchumi wao bali faida.
 
Kama hujui kitu ni bora ukakaa kimya kwa taarifa yako toka 2016 hakuna mpaka uliofungwa eti mazao yaziuzwe nje, kipindi cha jk sawa.Wala tatizo sio kuruhusu /kuzuia mazao yasiuzwe nje, mbona bei ya mchele na mahindi bado ziko chini sana?mafuta ya kula na bidhaa nyingi tu zimepanda bei ndio ujue kuna tatizo sehemu, unaweza kukimbilia kutaka kukusanya kodi kwa wingi huku unaumiza wananchi, na ndicho kinachotokea sasa!!
Huna ulijualo
 
Kuna jambo linakuja sio utani
Mambo yatakuwa mabaya zaidi kwa sababu nchi nyingi sana zimekopa mda wote wa janga la Corona

Sasa kurudisha hizo hela ndio kazi na wengine kama sisi ndio kwanza eti tunakopa na za corona wakati huu

Msomeni Robert Kiyosaki ametabiri nini kitatokea mwezi huu

IMG_2697.jpg
 
Siyo kwamba anawakomesha mataga huku akifuta legacy?

Siyo kwamba ndio anawajaza bavicha mahela mifukoni?
nyie matagapori hamkomeshwi kwasababu nyie mkienda vituo vya mafuta kufanya manunuzi mnapunguziwa bei kwasababu ni CCM 🤣 🤣 🤣

Hivi nyie mataga pori mlidhani huu ugumu wa maisha unaosababishwa na CCM utawaathiri wapinzani pekee???
 
nyie matagapori hamkomeshwi kwasababu nyie mkienda vituo vya mafuta kufanya manunuzi mnapunguziwa bei kwasababu ni CCM

Hivi nyie mataga pori mlidhani huu ugumu wa maisha unaosababishwa na CCM utawaathiri wapinzani pekee???
Mabavicha zile shangwe zenu za..

Mama anawakomesha mataga,
Mama anawakomesha sukuma gang
Mama anaupiga mwingi
Mama anafuta legacy

Vipi zimeishia wapi?

Si mlikuwa manashangilia kwmba bora huyu anawapiga huku anawageia na soda?
 
Back
Top Bottom