Mfumo wa vyama vingi Tanzania na Afrika ni mfumo kwa kuwaibia Mabeberu

Mfumo wa vyama vingi Tanzania na Afrika ni mfumo kwa kuwaibia Mabeberu

rodgers123

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
179
Reaction score
152
Wandugu
Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk.

Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna demokrasia lakini ki ukweli hakuna.

Sasa ifike wakati wazungu wataambiwe ukweli kuwa hakuna demokrasia na hivyo wasitoe pesa zao kwa michezo ya kiini macho.
 
Back
Top Bottom